MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Maelezo Mazuri Thanks Mkuu
 
Nimekuelewa vema, thanks kwa kuchangia knowledge
 
Nakuuliza hiyo picha ni ya nani.. ?
 
Ndg hamna amri iliyoondolewa zaidi ya kuboreshwa umeambiwa 2+2=4 au 1+3=4 kwa mtu mwenye upeo mdogo huwezi kuelewa, kwani hiyo iliyotolewa ilikuwa inasaje na hiyo iliyowekwa inasemaje.....?hebu ziweke hadharani kwa faida forum ili zichambuliwe.
Mgumu kuelewa huyo daah!!!
 
Hivi wewe ndo ulikuwa mpiga picha siku hiyo?
Hakuna picha iliyopigwa....Hilo ni bango limewekwa likiwa na picha ya mtu na limewekwa na watu wenye uelewa na walichokuwa wajua wanachokifanya....Nataka kujua hiyo picha ni ya nani. ..??

mmefanya photoshop hadi watu walioko kwenye picha hawaonekani.
Hizo picha zipo zipo kwenye mitandao na web site za Kisabato....Sasa unataka kusema nini...? Its a matter of time mtabadilika, Mama White alikuwa kichaa so, maamuzi aliyokuwa akiyatoa yalikuwa ni maamuzi ya kiwenda wazimu...Ila sasa wasomi wapo SDA watabadilisha vyote vya kichaa yule

Hujui pia Logo yenu imebadilishwa...??


Hata hivyo picha za kufundishia zipo tangu zamani
Kwa hiyo ile amri ya kujifanyia Picha wala Sanamu ya kilichopo mbingu au duniani ina-apply wapi...? Kwa hiyo ile amri ilisema tujifanyie picha na sanamu kwa ajili ya kufundishia ehhh..??

Ndugu! Unajichanganya.....

.waandishi walichora picha za manabii na mitume kwenye mapango, mawe n.k ili kuhifadhi kumbukumbu zao lakini kamwe hazikuwahi kisujudiwa
Umeanza kwa kukataa, na kusema ni photoshop, Ila sasa ukweli umeujua unakubaliana na mimi picha zipo kwaajili ya kufundishia sio.....So unakubali picha ni muhimu sio....Hahahaha...Mtaparanganyana sana Wasabato.....Yule Mama Muhuni Ellen G White aluwaingiza chaka...
Sasa niwakati wa mabadiliko na mabadiliko yanakuja....Stay tuned....GC sasa inakwenda kuidhinusha Wanawake kuwa wahubiri.....Tukae mkao wa kula....

Kwa taarifa yako picha zinatumika kwenye vitabu vya makanisa mbalimbali
Kwa wasabato picha si haramu...? Si upagani...?? Ni lini mmeanza kutumia picha kufundishia...???
Na ni makanisa gani hayo unayoongelea...?
Tunalibadili kanisa Taratibu ..Kaa mkao wa kule...

Mama Muhuni Kichaa, Ellen G White alikuwa na mihemko ...Sasa kikanisa chenu kinabadilika....Marekani huko kanisa linakufa maana mafundisho ya Mama ni kama laana...

ili kufundishia tofauti na hivyo vinyago mnavyoviabudu
Kaa mkao wa kula mabadiliko makubwa yanakuja....

Muhuni na Kichaa Ellen G White aliwaingiza chaka....Kazazi cha ku-reason kinakuja....SDA na GC huko Marekani kunafurukuta moto na Kanisa Linakufa...Stay tuned

We Kitaja rudi kwenye hii post....Sio unakimbia ...Huwa sina tabia ya kusahau....Nipo na madudu ya GC leo na mfukuto unaondekea huko marekani
 
Kama una hoja divine kwanini unatumia nguvu na matusi?

Unauliza Luther alipata mamlaka kutoka kutoka wapi. Alitumia uhuru wake wa kufikiri na kuchambua.

Kama mkereketwa mkatoliki, aliandika theses zake kuhusu kanisa. Wazee wa kanisa hawakuta kujibu hoja zake na walimkana.

Mimi naamini Mungu, lakini naamini kuwa vitabu vya dini kazi ya binadamu.







Local language sio big deal....

Hakuna cha maana hata kimoja kati ya malamiko yake kilibadilishwa na kanisa....

Kwakifu makamiko yako yalikuwa hayana mantiki yoyote ..
You say local language isn't a big. I say it is. It has helped the democratization of the religion.

The masses don't read the Bible in its entirity. So for ordinary people, the number of books in the Bible doesn't really. What matters is their spiritual exprience.





Hayo mamlaka aliyatoa wapi angali Biblia ilishskamilika.. .?

Hapo umemshika pazuri...!Doctrine gani na Apostolic reasons zipi....?nasubiri,hawa watu wako shallow sana kwenye masuala ya maandiko na hawajui historia ya biblia.

 
Ahsante ndugu Ndaga kwa maelezo Murua...

Maelezo yako ni mazuri sana....Ni kweli vitabu vile Saba vilikatalikwa na na Wayahudi na sababu kubwa ilikuwa ni lugha ..Vitabu saba vile vilipokelewa kwa Lugha ya Kigiriki, hivyo Wayahudi iliwawia vigumu kuvipokea kama sehemu ya vitabu vyao...

Ndio maana, kwenye post zangu za mwanzo, nilisema Martin Luther alitumua loop hole hiyo ya Wahudi kupata uhalali wa kupunguza vitabu hivyo...

Ni kweli Sasa hivi Wayahudi wameshaanza kuvikubali vitabu hivyo....Huoni kuwa Martin Luther ataumbuka soon....?? Atakuwa na justification gani tena...? Maana wayahudi wameshaanza kuvirejesha vitabu hivyo...?

Tukubali kuwa Luther alikuwa na mihemko kuondoa vitabu vile....

Tuendelee na mjadala
 
Wewe umeanza ukatoliki toka ukiwa mtoto. Your brain has been wired to think the Catholic way without taking into consideration that religion you dearly believe is man made.
 
Ni utaratibu wa Kanisa kwa makaasisi wake na useja haulizimishwi Bali wito tuu.
Miaka ya mwanzo makasisi walioa na baadhi ya Popes walikuwa wameoa. Tatizo wakaanza kutumia mali za kanisa kurithisha watoto wao. Undugu urikithiri. Watu waka- promote mpaka watoto wao wa nje kuwa makasisi.

Nikisema dini ni man made mtanipinga sana.
 
Upo sahihi kabisa....Na swala la useja ni Doctrine ya kanisa siyo Dogma....

Pamoja na hayo, imesaidia sana ktk umoja wa Kanisa na kanisa kudumu....Maana upadre ni wito na mtu halazimishwi...
 
Martin Luther alishapata cheo cha , 'uaskofu' wakati huo. Dhana kwamba alifuta vitabu 7 napata shida mamlaka hayo aliyapata wapi? Mnyonge mnyonge lakini haki yake mpe
Shida gani unapata,sema umeamua kujipa shida,Iko wazi kabisa tafuta biblia ya inayotumiwa na waprotestant kisha tafuta biblia inayotumika kwa wakatoliki utabaini hili,
Na bila wasiwasi biblia ya awali zaidi ni wanayotumia wakatoliki,sasa ukisha pata hili haya tafuta niblini na ni nani alipunguza utamkuta huyo ndugu,
 
Wewe umeanza ukatoliki toka ukiwa mtoto. Your brain has been wired to think the Catholic way without taking into consideration that religion you dearly believe is man made.
Man made kivipi..? Kuwa Yesu ni man made ..daah..mpaka naogopa kuandika...,

Imani ya Kanisa Katoliki ijipambanua kwenye Creed tunayo ikiri kila tunapokutana..
 
kiukweli umekuwa mkristo usie na faida.
kuabudu miungu na kuvunja amri za Mungu ndiko kunakutesa mpaka umkosoe martini luther.
kajipange upya na hoja zako zenye kukinzana na imani ya ukristo.
Umeathirika na hasira zitokanazo na msimamo ulopitiliza wa mahaba ya nje juu unakosali,
Relax
Changanua mambo kwa namana ambayo hata unaemkosoa ataona kuna kitu umeongea cha maana,
Nisikulaumu sana yamkini ndo ukomo wako wa kupambanua mambo,
 
Martin Luther ataumbuka soon...Maana wayahudi wameshaanza kuvirejesha vitabu hivyo...."Dead Sea Scroll"
 
.
*uandishi wako unaonyesha kua huijui historia ya kanisa,,,
kwa mfano huzungumzii sala kwa bikira maria na cheo chake cha umalkia, ubatizo,,, imani, na neno..
Mkuu hebu nikuulize ni kanisa kipi ambalo jamaa hajui historia yake,unaonaje umkosoe kwa kuleta historia hyo ya kweli unayoijua ww ili tuisome na kuwianisha na yake kuliko kuongea maneno matupu,
Ushauri wa bure,usitumie maneno ya kukarilishwa huko unakosali kiasi ukiyaskia yahusuyo mtangulizi wako unaona ni uongo,
Acha chuki haimpendezi MUNGU
 
We jamaa ni tatizo... Kuandika tu hujui... Unatuharibia kiswahili bwana
 
We jamaa ni tatizo... Kuandika tu hujui... Unatuharibia kiswahili bwana
Tofautisha kati ya kutojua kuandika na makosa ya kiuchapaji,
Lkn nyuma ya ukosoaji huu uloufanya kumebeba siri kubwa ya ufahamu wako,maana waelewa wanajua kuna typing errors ambazo kimsingi hazibadili maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…