Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Luther alifanikiwa kukiondoa ila Calvin alisaidia kurudisha .Kuna vitabu viliondolewa ili kuficha mambo,kitabu cha ufunuo ndio kimewashinxa kwa kua kipo ktk mfumo wa mafumbo
Duh kaaazi kweli kweli hapo ndo mlipo mpa cheo binadamu mwenzenu awe mwombezi. mmesahau kwamba mariam na yeye ni binadamu kama niniyi na alishakufa anasubiri ufufuo siku ya mwisho.. sasa sijui nani kawadanganya kwamba maria yuko hai...... Au ni katika kitabu gani kimemtaja Mariam Kwamba yi hai ambapo anaweza kusikia maombi yenu
Aliondoa vitabu hivyo ili ku-suit mafundisho yake....Mini lengo LA kuondoa vitabu hvyo
Kwanini Waprotestant biblia yao inavitabu 66 na Wakatoliki, Anglican High Church, All Othodox Churches biblia zao zina vitabu 73/72Hamna kilichopunguzwa kwenye Bible
Biblia ilikuwa compiled na Kanisa Katoliki(biblua ni kitabu cha kikatoliki)Mm naona kuna haja hapa mtu atoe elimu kwanza ya uundwaji wa bibblia
Kulikuwa na Kanisa moja tuu, yaani Kanisa Katoliki.....Orthodox Church walijitenga na Kanisa Katoliki mwaka 1100..,,na ukristu kabla ya kugawanyika .
Maamuzi gani...?Na tujue kila maamuzi yalifanywa kwa maslahi either personal or kwa ukristu
Mimi nimwanadamu ninae Muhitaji Yesu lakini wewe pia unamuhitaji Yesu ili akuweke huru na upotofu wa fikra na ufia dini kana kwamba tutaenda kuhukumiwa siku ya mwisho na dini zetu au dhehebu zetu NENO ndo litakalo tuhukumu.Akusaidie wewe nani...?
Now this isn't right kwa kweliAliondoa vitabu hivyo ili ku-suit mafundisho yake....
Ni sawa Walokole leo waondoe kitabu cha (Nyaraka ya paulo kwa Wakorinto) inayokataza mwanamke kusimama madhabahuni, simply ili kuruhusu wanawake wawe ordained
Hahaha! unapopinga angalia usitende dhambi neno la Mungu ni nini? Kuna andiko kwenye Biblia ambalo si neno la Mungu? Unajua neno la Mungu ni Mungu mwenyewe? Ukisema alisema Maria si Mungu ina maana mafundisho ya mitume ni ya mitume si Mungu? Tatizo lenu mnapopinga Ukatoliki mnajisahau hadi mnavuka mstari.uongo wa mchana hebu lete andiko.
maana maria ndiye aliyesema hivyo.
LUKA 1:46-48.
anasema watamwita mmbarikiwa lakini sio Mungu kusema tutamwita hivyo
Kanisa katoliki wanamuhitaji Mungu kwakwl na ndo mana wengi wanaoelewa neno huwa wanakimbia,Japo sijawahi kuwa mkatoliki lakini naskia ukifa siku ya kuzikwa padri akikuombea rehema basi unasamehewa makosa yako! Na pia mama maria ndo anawaombea wakatoliki,pia ndo dhehebu pekee ambalo pombe imehalalishwa!! Mungu atusaidie sana
Nimemtadharisha asije kusema Paulo aliandika vile vitabu kwa matakwa yake na sio neno la Mungu....Ni hatari sanaHahaha ....unapopinga angalia usitende dhambi ....neno la Mungu ni nini? Kuna andiko kwenye Biblia ambalo si neno la Mungu? Unajua neno la Mungu ni Mungu mwenyewe? Ukisema alisema Maria si Mungu ina maana mafundisho ya mitume ni ya mitume si Mungu? Tatizo lenu mnapopinga Ukatoliki mnajisahau hadi mnavuka mstari.
Naona hujazungumzia cheo cha papa na mamlaka yake, umeshau hoja ya Marton Luther ya mamlaka milyo mpa maria kuwa muombezi wenu
ukatoliki ni dini iliyokuwepo hata kabla ya Yesu.Kanisa Katolik limekuwepo hata kabla ya uislam. Hivyo maktaba ya Vatican imeshiba