Endelea kuabudu sanamu kuombea wafu, kumwachia padre ajinonze mvinyo mwenyewe , kumtumaini Bikira Maria ataenda kukuombea na midhambi yako, kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe endelea kuabudu rozari nimezunguka ndani ya Biblia sijaona bado leta mistari labda sikuionaKama sio uhasi wa Luther uenda haya makanisa ya wapiga dili na ibada za kutoa mapepo yasingekuwep.. Ok, yeye alijitoa kanisa Katoliki, mbona na yeye anapingwa na jamii ya walokole?
Tunataka maandiko ndani ya Biblia Takatifu yaliyoandikwa mtu ukifanya dhambi ukatubu kwa binaadamu mwenzio pengine na yeye ana mizigo kukuzidi eti Maria Mtakatifu utuombee kasema nani? Utavuna ulichopanda leta maandiko acha kupotoshaWapiga Dili washakuja... Mmeshajaza Waganga wa Kienyeji Kuliko wachungaji kanisani...
kitabu cha YUDITHI kinamtaja NEBUKADREZA kuwa ni mfalme wa ninawi,,, Kitabu cha TOBITI ni hadithi za kutunga.
Limesema Kanisa Katoliki na Ndo lenye mamlka hayo na Ndo maana Biblia Ilitoka Huko... Kwani Yesu aliagiza Mjenge Makanisa? Ni wapi pameandikwa Mjenge kanisa.. yeye si Alikuwa anaabudu YerusalemTunataka maandiko ndani ya Biblia Takatifu yaliyoandikwa mtu ukifanya dhambi ukatubu lwa binaadamu mwenzi pengine na yeye ana mizigo kukuzidi eti Maria Mtakatifu utuombee kasema nani? Utavuna ulichopanda leta maandiko acha kupotosha
Nikuambie kitu ndani ya Biblia imeandikwa wa mwisho atakuwa wa kwanza na as kwanza atakuwa wa mwisho na kwa kukusaidia kanisa ama hekalu ni mwili wako unapo fanya maovu unaliaharibu hekalu la Mungu na kwa kukusaidia hayo mahekalu na makanisa hata ukeshe ukisali asubuhi , mchana na usiku kama huna Imani na hutendi yale yanayo mpendeza Mungu ni kazi bure soma Biblia Takatifu sio ile ya Biblia yenu utajua mambo makuu na magumu isiyoyajua.Kanisa Katolik limekuwepo hata kabla ya uislam. Hivyo maktaba ya Vatican imeshiba
Hata malaika huwa wanashangaa kwa kweli padre anapiga windokKanisa katoliki wanamuhitaji Mungu kwakwl na ndo mana wengi wanaoelewa neno huwa wanakimbia,Japo sijawahi kuwa mkatoliki lakini naskia ukifa siku ya kuzikwa padri akikuombea rehema basi unasamehewa makosa yako! Na pia mama maria ndo anawaombea wakatoliki,pia ndo dhehebu pekee ambalo pombe imehalalishwa!! Mungu atusaidie sana
Embu niambie mstari ndani ya biblia ulioandikwa hivyo Hata meno katoliki tusiongeze neno wala kupunguza leta mstari.Limesema Kanisa Katoliki na Ndo lenye mamlka hayo na Ndo maana Biblia Ilitoka Huko... Kwani Yesu aliagiza Mjenge Makanisa? Ni wapi pameandikwa Mjenge kanisa.. yeye si Alikuwa anaabudu Yerusalem
kumbe hata maana ya wa protestant hujui....Kwanini Waprotestant biblia yao inavitabu 66 na Wakatoliki, Anglican High Church, All Othodox Churches biblia zao zina vitabu 73/72
Ni kwl mkuu nina mjomba wangu ni padri nilienda kumtembelea pale ofcn kwao kurasini nkakuta friji yake imejaa mivinyo plus bia za kutosha akawa anapga bia kama kawaida kwhyo kwa mujibu wa biblia yao pombe kwao ni halali kbsa sikushangaa hata maparoko huwa wananyonya sana mivinyoHata malaika huwa wanashangaa kwa kweli padre anapiga windok
Unajua maana ya neno Catholic?...Biblia ilikuwa compiled na Kanisa Katoliki(biblua ni kitabu cha kikatoliki)
Kulikuwa na Kanisa moja tuu, yaani Kanisa Katoliki.....Orthodox Church walijitenga na Kanisa Katoliki mwaka 1100..,,
Miaka ya 1500 huko, schism ilitokea na Luther alitengwa na Kanisa Katoliki...Hapo ndipo dhambi ya uasi ilianza kuenea kwa kasi na tukaanza kupata madhehebu kedekede
Maamuzi gani...?
tunapopishana na nyie ni hapo kwenye 'according to my faith' mwenzako nae kasema 'kutokana na mafundisho ya kanisa' leteni andiko kwenye biblia takatifu ambayo ndio msingi wa ukristo..Kwani wewe huwezi kumuombea mtu?
Katika sala ya bikira maria kuomba atuombee, mengi ni maneno yaliyotamkwa na Elizabeth wakati ana ujauzito wa miezi sita wa kumzaa Yohane mbatizaji. Nafikiri Bikira Maria kwa 'utakatifu alionao' (according to my faith&believe) sio kosa kuomba atuombee kama tunavyofanya kwa watakatifu wengine.
Endelea kuabudu sanamu kuombea wafu, kumwachia padre ajinonze mvinyo mwenyewe , kumtumaini Bikira Maria ataenda kukuombea na midhambi yako, kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe endelea kuabudu rozari nimezunguka ndani ya Biblia sijaona bado leta mistari labda sikuiona