MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Biblia iliandikwa na mitume na manabii.. Sasa katoliki iliandika biblia gani? Wakati ukatoliki uliikuta biblia na ukisoma biblia utaona hakuna udhehebu mule bali watu walioguswa ni wenye kuamini jina lake tu. Udhehebu ulianzishwa na wakatoliki baadae na hii ilikua kwa muuenendo wa desturi za Waroma kwamba kiongozi wa nchi ndio kiongozi wa dini hivyo.

walivyouingiza ukristo katika desturi zao ndipo baadae udhehebu ukapatikana baada ya watu kuona hawapo sahihi na biblia inavyowafundisha hapo ndipo mtengano ukatokea na baadae kuanzisha makanisa tofauti ila waliendelea kutumia kitabu hicho hicho biblia kwa mafundisho wanayo yaamini..
 
Vitu vingine hata Google inaweza kukusaidia japo kidogo kujiongeza. Biblia ni mkusanyiko wa maandiko mbalimbali ambayo yameandikwa na waandishi mbalimbali. Hayo maandiko hayakuwa pamoja kwenye kitabu kimoja tunachoita leo Biblia.

Hivyo bila Kanisa Katoliki tusingekuwa na Biblia kwasababu ndio walioweka utaratibu wa kukusanya hayo maandiko mbalimbali kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu wakajua yapi yachukuliwe na yapi yaachwe. Kwa mfano unajua ziliandikwa injili zaidi ya 24? Unajua hadi Mtume Tomaso ana injili? Lakini baada ya uchambuzi zikapatikana injili 4 unazoziona Leo. Elimu yote ya Biblia na historia yake ya kweli ipo Kanisa Katoliki tu na wengine wanaiba ukweli huu na kuingiza matakwa yao.

Halafu Rumi ,Roma na Ukatoliki havina uhusiano kabisa suala la upagani Kanisani ni dhana potofu mno ....inahitaji muda kuelimishana ....kwa mfano unajua hata kusherekea Christmas chanzo chake ni upagani? ....
 
Martin Luther alileta mapinduzi makubwa sana kiiman,

Wakati mwingine huwa najaribu kuangalia ibada za wakatoriki naishia kucheka.
Mapinduzi labda ya kupindua vitabu 7 vya Agano la Kale kwa kuviondoa kwenye canon ya Biblia.....

Mapinduzi mengine ni attempt ya kuondoa vitabu vya Ufunuo, Waebrania na Yakobo
 
 
 
Ukienda Kwa mwendo huu wa kukaririshwa huwezi Fika.umepotoshwa.
 
Ukienda Kwa mwendo huu wa kukaririshwa huwezi Fika.umepotoshwa.
Hah hah hah mkuu umenikumbusha aya flani inasema nae Mussa akafa akiwa na miaka..........alafu wanatuambia mwandishi wa kitabu hicho ni Musa huyo huyo.
 
Mapinduzi labda ya kupindua vitabu 7 vya Agano la Kale kwa kuviondoa kwenye canon ya Biblia.....

Mapinduzi mengine ni attempt ya kuondoa vitabu vya Ufunuo, Waebrania na Yakobo
Walio compile hcho kitabu n kina nan..? N maaskofu ama ma Padre na ilikua mwaka gan.? Na chapisho la kwanza lilitolewa na nan..?

Naomba mtupatie historia ya biblia Katka mtiririko ulio nyooka il tuwaelewe
 
 
Walio compile hcho kitabu n kina nan..? N maaskofu ama ma Padre na ilikua mwaka gan.? Na chapisho la kwanza lilitolewa na nan..?

Naomba mtupatie historia ya biblia Katka mtiririko ulio nyooka il tuwaelewe
Ondoa Shaka mkuu...kila kitu utapata
 
Unajua maana ya neno Catholic?...

Kama ulikua hujui anglikana nao wanaitwa Anglican Catholic, Orthodox Catholic, na ndiyo maana hakuna dhehebu linaloitwa Catholic ila lipo Roman Catholic.. nenda kasome maana ya Catholic
Wataalamu wanasema hakuna dhehebu linaitwa Roman Catholic bali kuna The Catholic Church. na kweli hili ndilo tunaloliona huku mtaani. Unaona Kanisa katoliki na siyo Kanisa Katoliki la Roma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…