MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Wataalamu wanasema hakuna dhehebu linaitwa Roman Catholic bali kuna The Catholic Church. na kweli hili ndilo tunaloliona huku mtaani. Unaona Kanisa katoliki na siyo Kanisa Katoliki la Roma.
Hivi unajua maana ya neno Catholic
 
Martin Luther alishapata cheo cha , 'uaskofu' wakati huo. Dhana kwamba alifuta vitabu 7 napata shida mamlaka hayo aliyapata wapi? Mnyonge mnyonge lakini haki yake mpe
You are lying
 
Wataalamu wanasema hakuna dhehebu linaitwa Roman Catholic bali kuna The Catholic Church. na kweli hili ndilo tunaloliona huku mtaani. Unaona Kanisa katoliki na siyo Kanisa Katoliki la Roma.
nenda kwenye amri za kanisa KATOLIKI ndo utajua kuna kanisa katoliki la Roma
 
Lengo la ujumbe nini haswa ndugu
 
Nadahani wana jf sio bora kwasisi wanaimani ya kikristo kukosoana katika imani ebu y amungu tumpe mungu na kaisari apewe yake
 
Duu kumbe bible imefanyiwa EDITING.....?
Imechezewa sana. Wataalamu wanasema biblia tuliyonayo ni nakili ya nakili. Kwa imenakiliwa mara nyingi sana na imetafsiriwa sana hivyo wakti mwingine kupoteza maana ya neno. Lakini tumaini ni kwamba imeandikwa "yote yatapita lakini hata yodi moja ya toreati haitapotea". Hivyo, ujumbe wa neno la Mungu uliuokusudiwa upo pale pale.
 
Sasa iweje ICHEZEWE halafu maana ibaki pale pale ? kwa kifupi hicho ni kitabu cha story. .na sio cha MUNGU ...
 
Deogratius Kisandu,
Mfuasi wa katoliki akijikosha na kujaribu kusafisha imani ya kanisa lake katoliki dhidi ya wanaopinga maana katoliki linaongozwa na mapikeo zaidi kuliko biblia
 


Luther did not include the deuterocanonical books in his Old Testament, terming them "Apocrypha, that are books which are not considered equal to the Holy Scriptures, but are useful and good to read."

He also argued unsuccessfully for the relocation of the Book of Esther from the canon to the Apocrypha, because without the deuterocanonical additions to the Book of Esther, the text of Esther never mentions God.

As a result, Protestants and Catholics continue to use different canons, which differ both in respect to the Old Testament and in the concept of the Antilegomena of the New Testament.





And Your protestantchurch won't tell you this..
 
Martin Luther alikuwa ni sehemu tu ya kazi ya matengenezo ya Kanisa.,Kazi hiyo ya matengebezo iliendelezwa Wanamatengenezo Wengine.

Ukitaka kufahamu vizuri soma au pitia Maandiko au vitabu vya roho ya unabii vilivyoandikwa na Helen G.White utapata majibu yote.k.m 'The Great Controversy', Daniel Na Siku Zetu n.k

Kila kitu kimeelezwa au kutafsiriwa kwa kina sana hususani Vitabu vya Daniel na Ufunuo.
 
The Son of Man,
[emoji106] [emoji106] [emoji115] [emoji115] [emoji106] [emoji106] umeandika point kabisa yaan kwa asiye fahamu historia ya kanisa ataponda tu big up sana bro kwa yeyote anayetaka kuelewa juu ya hili ni lazima asome historia ya kanisa kwa kuwa historia ya kanisa imeeleza kwa kirefu juu ya suala la waprotestant.
 
Naona hoja hizi mbili hawazijibu wanarukaruka tu kama chura yaan hao wenyewe wanakinzana wenyewe kwa wenyewe
 
PSB - Martin Luther complete documentary ( part 1 & 2)
Excellent documentary to understand history and the separation from the catholics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…