MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Hakuna Mkristo duniani anayeweza kumbeza bikra Mariamu, Bado ana heshima yake kama mama mbeba maono, lakini haizuii sisi kuwataka nyie mtuambie ni kwa mamlaka gani mliyopewa katika biblia yeye kuwa muombezi wenu
Wanaomuomba Bikira Maria awaombee wanajua nini wanafaidi toka kwake,so muwaache waendelee kumuomba
 
Ni kuulize, Yesu ni nani..?

Ni Mungu au sio Mungu...?

Hapa ndio utakapojua kuwa kuna umuhimu wa kujua elimu Theolojia na Falsafa....Ukienda kichwa kichwa hivi utajichanganya sana....
Kabla ya kujua Falsafa na theolojia ni vema wakaweka msisitizo kwenye Elimu Dunia pia ili iwe rahisi kujifunza hiyo Falsafa na Theolojia
 
Kama sio uhasi wa Luther uenda haya makanisa ya wapiga dili na ibada za kutoa mapepo yasingekuwep.. Ok, yeye alijitoa kanisa Katoliki, mbona na yeye anapingwa na jamii ya walokole?
dhambi ya usaliti inaendelea, mwisho wa yote watarudi katika ukweli
 
Ukitaka ujue ukeli anza kusoma historia ya kanisa katoliki, historia ya Luther, historia ya uprotestant pia usomapo biblia lazina ujue fafanuzi ya mathayo ni tofauti kabisa na ufunuo tusilazimishe maana tuzitakazo sisi ndio ziwe biblia ninajitafsiri yenyewe haiitaji tafsiri toka nje ndio maana ili ukielewe kitabu cha danieli unalazimika ukisome kitabu cha ufunuo maana kitabu cha daniel kimefungwa lakini ufunuo unakifunua
 
Samahana badala kuandika historia ya ukristo imeingia hilo neno naomba radhi kwa kisa hili sio kusudi langu
 
Mkuu Hilo Umechemka kwa Bahati Mbaya sana alikuwa ni Martin Luther aliyelilia The Council of Trento, na Papa wa wakati ule alirefuse Vibaya sana Mtaguso Huo, na Mpaka ule Mtaguso unafanyika nadhani ilikuwa Nov 1545 mpaka 1563 Luther alikwishafariki, Kwa maana hiyo Luther Hakushiriki Mtaguso wa Trento, na ilikuwa ni Luther alikuwa akitaka kupata Suluhu Kati yake yeye na Kanisa Katoliki!
 
Hao unaowadhania kwamba wanaijua historia ya kanisa ndio wanaowalawiti watoto na kwa madai yako kwamba luther aliviondoa vitabu7 yaelekea aliviondoa kwasababu viliruhusu kulawiti vivulana pa1 na ushoga.
 
Hao unaowadhania kwamba wanaijua historia ya kanisa ndio wanaowalawiti watoto na kwa madai yako kwamba luther aliviondoa vitabu7 yaelekea aliviondoa kwasababu viliruhusu kulawiti vivulana pa1 na ushoga.
hoja yako iko wapi hapa?
 
Kwa hio biblia yenu mtu akiamua kupunguza mistari anapunguza, tu bila ya hofu
Akiamua kuongeZA mistari anaongeza, tu bila hofu
Hizi dini zingine bwana

Lakini wacha, tuachie wenyewe tuone watakavyo shambulia mtoa mada, badala ya kujibu ada hisika
Wamefikia hatua kila wa2 na biblia yao mfano biblia ya wakatoliki wao kuabunu masanamu ni ruksa....pia kutubu kwa binadamu mwenzao ruksa mfano ww utende dhambi kisha uje kutubu kwangu yaaani ni mambo ya aibu kabisa kabisa dini ya kweli na ya Haki wameikataa kabisa ona sasa wanavyoaibika
 
Back
Top Bottom