Kitaja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 2,836
- 1,382
Hapa tunaelimishana tu ili ukweli uwekwe wazi na tuufuate tupate wokovu.Kwa mujibu wa Ndaga na Kitaja Wakatoliki watakuwa ni wapagani.....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa tunaelimishana tu ili ukweli uwekwe wazi na tuufuate tupate wokovu.Kwa mujibu wa Ndaga na Kitaja Wakatoliki watakuwa ni wapagani.....!
You again! Ngoja nikae sawa!Hapa tunaelimishana tu ili ukweli uwekwe wazi na tuufuate tupate wokovu.
Hujanijibu hapa ..Ni Wakristo gani hao...? Walikuwa hawana jina...? Origin yao ni wapi...? Waliishi wapi..? Jibu haya maswali kwanza...Ni sawa kabisa, na hawa Wakristo
Tupe hatua za Ukusanyaji wa Biblia...? Je! Walikusanyaje...? Nyaraka zilikuwa ngapi..? Vitabu vya Ufunuo vilikuwa vingapi...? Injili zilikuwa ngapi...???ndio waliofanya kazi ya kukusanya pamoja maadiko ya agano jipya wakiunganisha na yale ya agano la kale
Unafikiri hiyo moja ilikuja kirahisi...? Unafamu zilikuwa Injili ngapi kabla ya kuziona hizi nne....?? Unafikiri Biblia uonayo ilikuwa kama ilivyo...Hujui kuwa ni mchakato uliochukua karne na karne....Hujui kuwa ni vitabu makumi kwa mamia viliachwa...? Nakuuliza tena unaijua historia...??? Hatuko kwenye mihemko hapa..,kisha ikapatikana Biblia moja
Siyo kujipa madara...Biblia ni ya Kanisa Katoliki...Yenyewe ndio yenye hati miliki...Ime-compile na kukusanya na kuweka kwenye Canon Order uionayo sasa.....Inashangaza Roman Catholic Church wanapojipa madaraka ya kuwa wao ndio waandishi wa Biblia
Nani kakudanganya hapa..!? Tupe source ya huu uongo wako..ilihali kanisa la roma limeanzishwa rasmi katikati ya karne ya 3 na 4.
Hivi unafahamu Irekia ya Mapapa wewe...? Papa wa Kwanza Papa Petro alianza mwaka 33 mpaka 67....Kipiindi hicho mitume wote wakiwa wamekufa.
Mpaka huo mwaka kulikuwa na mapapa zaidi yac10 Madarakani....Naendelea kukumbua na uongo wako...Mfalme wa kirumi Constantino ndiye alikuwa wa kwanza kutangaza muungano baina ya dola na kanisa mnamo mwaka 313 AD na kukomesha nateso kwa wakristo
Sijui unapotosha historia ya minajili gani...??? Hivi unafikiri nitakaa kimya kukuona unapotosha historia...Historia huwa hipotoshwi kamwe....Neno Roman lilianza kutumika mikaka ya 1600 ya Anglicans...Hakuna Church Documents yoyote utakuta imeandikwa Roman Catholic, bali ni Catholic Church...Wakaiita Roman Catholic Church yaani kanisa la kirumi la mahali popote
Yes! Catholic ni neno lenye Asili ya Kigiriki inayomasnisha kuenea kote,.Catholic simply meant " everywhere".
Hahahahahahaha....umenifanya nicheke sana...Papa wa Kwanza alianza lini....Na Papa wa kwanza alianza mwaka 538 AD
Utaendeleza nini sasa??? Huoni hata aibu kuandika 1+1=22 angali ni jibu ni 2...?.Nitaeleza vizuri wakati mwingine nikijaliwa katika thread nyingine.Leo ngoja niishie hapa.
Unaongelea ukweli gani...? Wokovu gani huo unauongelea wewe...?Hapa tunaelimishana tu ili ukweli uwekwe wazi na tuufuate tupate wokovu.
Kwa kuleta ibada ya sanamu kanisaniTafadhali sana ndg Ndaga na Kitaja ningependa kujua Rumi wali practise vp mafundisho ya kipagani chini ya Roman Catholic
Luther nae Kama binadamu alikua na mapungufu yake.kiukweli umekuwa mkristo usie na faida.
kuabudu miungu na kuvunja amri za Mungu ndiko kunakutesa mpaka umkosoe martini luther.
kajipange upya na hoja zako zenye kukinzana na imani ya ukristo.
Wokovu ni kwa kila mtu amwaminiye Yesu.Yohana 3:16Unaongelea ukweli gani...? Wokovu gani huo unauongelea wewe...?
Wasabato mna wokovu gani..?
Wasabato mnamwamini Yesu au Ellen G White..?Wokovu ni kwa kila mtu amwaminiye Yesu.Yohana 3:16
Ibada ya Sanamu imefanyaje..? Unaposema ibada ni nini hasa unamaanisha...?Kwa kuleta ibada ya sanamu kanisani
Kutoka 20: 4-6. Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. (5)Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,Ibada ya Sanamu imefanyaje..? Unaposema ibada ni nini hasa unamaanisha...?
Hiyo Amri Mungu hajakataza kuchonga, ila alichokataza ni kuziabudu, yani hizo sanamu kuzifanya zichukue nafasi ya Mungu....Kutoka 20: 4-6. Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. (5)Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
Hapo walikuwa wanaambiwa Waebrania...(6) nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Ni kweli kusujudia kwa lengo la kuiabudu hiyo sanamu badala ya Mungu, yaani kuipa hiyo sanamu nafasi ya Mungu ni machukizo na ni ibada ya Sanamu...Kusujudia sanamu hiyo ndiyo ibada ya sanamu, Mungu amekataza, upo hapo?
Duh! kweli walimu wako walikuwa na kazi...sasa unakataa nini na unakubali nini? Neno la Mungu liko wazi, ibada ya sanamu yaani kutengeneza sanamu ya kitu chochote hata ukipe jina gani zuri, hiyo ni ibada ya sanamu na imekatazwa period. Na hapa Mungu alikuwa hawambii waebrania peke yao, bali maelfu na maelfu wampendao Mungu. Neno la Mungu halina ukomo wa muda.Hiyo Amri Mungu hajakataza kuchonga, ila alichokataza ni kuziabudu, yani hizo sanamu kuzifanya zichukue nafasi ya Mungu....
Inaugumu gani kuelewa huo mstari....?
Ungeenda mbele kidogp uone Mungu huyo huyo anayekataza kuchonga sanamu anamruhusu Musa kuchonga sanamu ya nyoka wa shaba...
Hapo walikuwa wanaambiwa Waebrania...
Ni kweli kusujudia kwa lengo la kuiabudu hiyo sanamu badala ya Mungu, yaani kuipa hiyo sanamu nafasi ya Mungu ni machukizo na ni ibada ya Sanamu...
Wewe unajitia unajua kumbe hujijui kuwa hujui(MPUMBAVU) Kwani Wakatoliki hawafuati njia ya wokovu au Wakatoliki sio waokuvu....?nataka nikuhakikishie Roman Catholic ndio Kanisa lililoachwa na Yesu Kristo,maandiko yapo na historia zipo ukitaka tuziweke huku zitawekwa tuu.Hapa tunaelimishana tu ili ukweli uwekwe wazi na tuufuate tupate wokovu.
Matusi ya yule muovu na wafuasi wake kwani matusi ni dhambiWewe unajitia unajua kumbe hujijui kuwa hujui(MPUMBAVU) Kwani Wakatoliki hawafuati njia ya wokovu au Wakatoliki sio waokuvu....?nataka nikuhakikishie Roman Catholic ndio Kanisa lililoachwa na Yesu Kristo,maandiko yapo na historia zipo ukitaka tuziweke huku zitawekwa tuu.
Upumbavu sio tusi Bali ni tabiaMatusi ya yule muovu na wafuasi wake kwani matusi ni dhambi
Na kweli unaidhihirisha hapaUpumbavu sio tusi Bali ni tabia
Hivi unatambua kuwa Papa Yohana Paulo II aliomba radhi kwa wayahudi na watu wote walioteswa na kuuawa na kanisa katoliki? ikiwa kanisa katoliki ndilo lililopigwa mawe ilikuwaje papa aombe radhi kutokana na kanisa hilohilo kumwaga damu isiyo na hatia?Na usipende kuwa na tabia za mpumbavu jitahidi kuwa mjinga utajua vtu na utafaidi sana,Kanisa Katoliki lilianza kupigwa mawe Siku nyingi mno lkn haliyumbi kingekuwa ni kikundi ambacho hakina mpango wa Mungu kingefutika,yani nyie sio kwamba mnaanza wako tena walikuwa na utaalamu mkubwa wa kuandika vitabu kwaajili ya kulidhoofisha Kanisa lkn wapi...wamekufa na wameliacha Kanisa likiwa limesimama tena limesambaa ulimwenguni kwelikweli,sasa ni hukumu juu yao huko walipo.