Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Aiseer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanamu ndio miungu hiyo..mi naomba msaada katika amri za kumi za Mungu kutoka kwa katoliki. amri ya tisa na ya kumi zinafanana kikatazo. amri kuhusu sanam haipo
Vita iliyopo ya kiroho ya kuupinga ukweli na watu wasielewe nini hasa uhalisia wa nene ni kubwa sana. Hali ya kanisa ni mbaya sana sana maana hata baada ya Luther wakati wake kupita, waliompokea baada yake nako walifanikiwa kidogo maana upinzani ni mkali mno. Kinachofanywa ni kusiliba watu wasiijue kweli ambayo kwayo ingewaweka huru. Hata huku africa ni muda tu unasubiriwa u will tell me. Makanisa mengi hayahubiri kweli waganga wa kienyeji na wapiga ramli wamejazana wakitumia majina feki ya Mungu na mwanae.Kulikomboa kanisa gani...? Lutheran Church limebaki Africa tuu....Ujerumani ni kama limekufa tayari, Sweden watu hata hajui kanisa nini..
Hayo maono, ndiyo yalipelekea yeye kupunguza vitabu 7 vya Agano la kale..?
Hiyo ni laana ndugu....Mbona Kanisa Katoliki linashamiri...huoni kuwa dhambi ya uasi inazidi inazidi kuwamalizaVita iliyopo ya kiroho ya kuupinga ukweli na watu wasielewe nini hasa uhalisia wa nene ni kubwa sana. Hali ya kanisa ni mbaya sana sana maana hata baada ya Luther
Mada yako ina mapungufu mengi. Jipange kabla ya kutoa mada. Hapa unachoongelea wala hakiko wazi.KWANINI PADRE Luther ALIFUKUZWA KANISA KATOLIKI? NA KWANINI ALIONDOA BAADHI YA VITABU KWENYE BIBLIA AGANO LA KALE?
Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa katoliki wakati wake, Yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote.
Moja ya madai yake ilikuwa ni kuondoa kibali cha kwamba baada ya kuungama muumini asipewe stakabadhi ya kuonesha ameungama kwa kuwa kitubio ni siri ya MTU. Hili lilifanyiwa kazi. Mengine ikiwemo kurekebisha mfumo WA sala ya Kanuni ya Imani. Na mambo mengine mengi ambayo alipojibiwa, yeye hakuridhika pamoja na kueleweshwa vya kutosha. Alikuwa ni Great Thinker sana.
Mbaya zaidi alipokuja kusababisha mpaka akajitenga na kanisa ni kitendo cha kuondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia ikiwemo pia kupunguza baadhi ya mistari kwenye vitabu kama cha Esta na Cha Danieli.
Aliondoa vitabu vya Deutrokanoni na vingine baadhi na kuwa jumla ya vitabu 7 vilivyotolewa kwenye Biblia. Na kila kitabu alikuwa na sababu yake aliyoibainisha. Kimsingi alipata wafuasi wengi WA kumuunga mkono hoja yake hasa wale ambao walikuwa wanatafta njia ya kuchuma pesa kiulaini. Na hapo Biblia mpya ilianza yenye Vitabu pungufu.
Na ndio maana Leo watu hawaujui Ukristo vizuri na wanakinzana bila kujua historia ya kanisa. Watumishi wengi WA Mungu hasa HAWA WA kileo wasiojua nhistoria vizuri wao kila kitu wanapinga. Sio kosa lao Bali ni kosa la kutokujua historia ya kanisa.
Matumizi ya Ubani yalipingwa sana, na hapa ilikuwa ni kuondoa idadi ya waelewa. Kutokana na watu wengi walikuwa wamegeuka kama waganga kila mapepo ya kiwakabili walitumia ubani kuyafukuza na yalikimbia, lakini watu walijisahau kusali na kuomba na hata kufika ibadani ikawa nadra maana wanajua kujiponya kuondokana na majini na wachawi. Hapa Padre Luther na wenzake wakapiga marufuku matumizi ya ubani na kuwa sihi wakazanie Neno zaidi.
Hapa walichotakiwa kufanya ni kuliishi Neno la Mungu na wakati WA ibada basi ubani uchomwe kama Mungu alivyo agiza.
Luther na wenzake lengo lao lilikuwa ni biashara hapo baadae na kimsingi mpango huo ulifanikiwa. Na ndio maana mpaka Leo watu wametawaliwa na mfumo WA majini katika maisha yao kwa kuwa wamefungwa akili ya kujitambua na wanaamini maneno ya mdomoni na sio Maandiko ya Biblia kama yanavyosema.
Nimengi ya kujifunza sana Leo hii lakini kwa Leo naishia hapa.
deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.
Martin Luther hakuwahi kuwa Askofu. Moja ya sababu zilizomfanya ajitenge ni pale alipoukosa Uaskofu alioutarajia kwa hamu kubwa kwa sababu alikuwa anapendwa na waamini wengi wa mji huo.Martin Luther alishapata cheo cha , 'uaskofu' wakati huo. Dhana kwamba alifuta vitabu 7 napata shida mamlaka hayo aliyapata wapi? Mnyonge mnyonge lakini haki yake mpe
Soma maandiko vizuri wakati Yesu anajiandaa kupaa aliwapa Muongozo wanafunzi wake soma Luka 24: 49 ina sema hivi" Na tazama, nawaletea juu yenu ahadi ya Baba yangu, lakini kaeni humu mjini hata mvikwe uwezo utokao juu. Msisitizo wake ni ujio wa roho mtakatifu na kuthibisha hilo ukisoma matendo ya mitume. Siku ya pentecoste mitume walivyojazwa nguvu ya roho wa Mungu aliyewapa ujasiri na nguvu mpya na kuwatoa hofu mioyoni mwao. Na ukisoma biblia yako hakuna hata sehemu moja watu wanaomba kupitia maria hayo ni mafundisho potofu.Kwani kwenye harusi ya kana kinywaji kilipoisha, walimfuata nani ili awaombee kwa Yesu?, tatizo haya makanisa ya kilokole yanayoendeshwa na wachungaji ambao ni darasa la saba wanawapotosha, hawaijui biblia
Namuomba Mungu akupe macho ya kiroho. Ukisoma kitabu cha ufunuo wa yohana hutahoji utaogopa sana kinachotokeaHiyo ni laana ndugu....Mbona Kanisa Katoliki linashamiri...huoni kuwa dhambi ya uasi inazidi inazidi kuwamaliza
Aisee umeandika blaa blaa nyingi mno ambazo haziko backed hata na mstari mmoja wa Biblia.Hiyo sio issue sana hata hivyo.Issue ya msingi hapa ni kwamba kanisa la Roma limeacha the main doctrine of the Bible na kuingiza mapokeo mengi yasiyo na msingi wa Biblia,na hivyo kuichafua imani ya kweli ya Kikristo.Let me be clear about this. Unapoingiza mapokeo au mawazo ya watu kwenye imani,it's wrong,kwa kuwa huwezi kuwa na uhakika mawazo hayo yanatoka wapi.Kwenye mambo ya kiimani hata hivyo,we know most likely the ideas would be coming from the Devil kwa kuwa nia yake siku zote ni kuiharibu imani ya kweli. Ndio maana ni muhimu kutegemea mafundisho ya biblia tu na kuachana kabisa na mapokeo.Martin Luther realized that truth and decided not to be cheated anymore.KWANINI PADRE Luther ALIFUKUZWA KANISA KATOLIKI? NA KWANINI ALIONDOA BAADHI YA VITABU KWENYE BIBLIA AGANO LA KALE?
Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa katoliki wakati wake, Yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote.
Moja ya madai yake ilikuwa ni kuondoa kibali cha kwamba baada ya kuungama muumini asipewe stakabadhi ya kuonesha ameungama kwa kuwa kitubio ni siri ya MTU. Hili lilifanyiwa kazi. Mengine ikiwemo kurekebisha mfumo WA sala ya Kanuni ya Imani. Na mambo mengine mengi ambayo alipojibiwa, yeye hakuridhika pamoja na kueleweshwa vya kutosha. Alikuwa ni Great Thinker sana.
Mbaya zaidi alipokuja kusababisha mpaka akajitenga na kanisa ni kitendo cha kuondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia ikiwemo pia kupunguza baadhi ya mistari kwenye vitabu kama cha Esta na Cha Danieli.
Aliondoa vitabu vya Deutrokanoni na vingine baadhi na kuwa jumla ya vitabu 7 vilivyotolewa kwenye Biblia. Na kila kitabu alikuwa na sababu yake aliyoibainisha. Kimsingi alipata wafuasi wengi WA kumuunga mkono hoja yake hasa wale ambao walikuwa wanatafta njia ya kuchuma pesa kiulaini. Na hapo Biblia mpya ilianza yenye Vitabu pungufu.
Na ndio maana Leo watu hawaujui Ukristo vizuri na wanakinzana bila kujua historia ya kanisa. Watumishi wengi WA Mungu hasa HAWA WA kileo wasiojua nhistoria vizuri wao kila kitu wanapinga. Sio kosa lao Bali ni kosa la kutokujua historia ya kanisa.
Matumizi ya Ubani yalipingwa sana, na hapa ilikuwa ni kuondoa idadi ya waelewa. Kutokana na watu wengi walikuwa wamegeuka kama waganga kila mapepo ya kiwakabili walitumia ubani kuyafukuza na yalikimbia, lakini watu walijisahau kusali na kuomba na hata kufika ibadani ikawa nadra maana wanajua kujiponya kuondokana na majini na wachawi. Hapa Padre Luther na wenzake wakapiga marufuku matumizi ya ubani na kuwa sihi wakazanie Neno zaidi.
Hapa walichotakiwa kufanya ni kuliishi Neno la Mungu na wakati WA ibada basi ubani uchomwe kama Mungu alivyo agiza.
Luther na wenzake lengo lao lilikuwa ni biashara hapo baadae na kimsingi mpango huo ulifanikiwa. Na ndio maana mpaka Leo watu wametawaliwa na mfumo WA majini katika maisha yao kwa kuwa wamefungwa akili ya kujitambua na wanaamini maneno ya mdomoni na sio Maandiko ya Biblia kama yanavyosema.
Nimengi ya kujifunza sana Leo hii lakini kwa Leo naishia hapa.
deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.
Unaongelea Apokalpse ya Yohana...?? Nitaogopa nini..?Namuomba Mungu akupe macho ya kiroho. Ukisoma kitabu cha ufunuo wa yohana hutahoji utaogopa sana kinachotokea
Yani Martin Luther Kupunguza vitabu vya Biblia unataka tukupe backup ya Bibilia...? Are you serious..?Aisee umeandika blaa blaa nyingi mno ambazo haziko backed hata na mstari mmoja wa Biblia.
Labda nikupe taarifa kama ulikuwa hujui maana ya mapokeo...limeacha the main doctrine of the Bible na kuingiza mapokeo mengi yasiyo na msingi wa Biblia,
Hili fungu linawahusu Marko 7:6-9. Yesu akinukuu kitabu cha Isaya anasema. "Isaya alitabiri vema juu yenu...watu hawa hunishemu kwa midomo yao bali mioyo yao iko mabali nami....ninyi mwaiacha amri ya Mungu na kufuata mapokeo?" Kama Biblia ni mapokeo, Yesu asingekemea kufuata mapokeo badala ya neno la Mungu.Labda nikupe taarifa kama ulikuwa hujui maana ya mapokeo...
Biblia pia ni mapokeo kama ulikuwa hujui..
Hakuna New Catholic ....Karistimatiki unaijua wewe? Karibu Emaus Centre Ubungo kila jumamosi na jumapili kuanzia saa nane ujue kazi ya Karistimatiki ndani ya Kanisa ....tena mwaka huu Pope amewaalika Wanakaristimatiki kusherekea nao miaka 50 ya kuanzishwa kwake (Grand Jubilee) siku ya Pentekoste .....Reformation zilianza na Martin Luther katika kila sekta siasa,uchumi na mambo ya jamii na kipindi hicho dini ya mfalme ndio dini ya wanachi mfano West Germany...lutheranism...easten German...Catholic...France...Catholic....Most of scandinavian countries ni Lutheranism,Calvinism,Moravian(Protestant) ,,,,mtoa post yuko bias kwasabu ya dini yake....lakin reformation bado zinaendelea
- Roman Catholic
- lutheran
- baptist
- pentecostal
- wasabato
- New catholic(More spiritual I think).....Karsmatiki
- New generational churches........makanisa ya watu binafsi haya
Halafu Mbona hawazungumzii Ile ya Martin Luther kumvua Kilemba Sister na Kumfanya Mke.. mpaka Leo Lutheran Maaskofu wanaoa wa Sababu Muasisi wao Alioa na Kuasi Kanisa Katoliki lililokataza KuoaMartin Luther hakuwahi kuwa Askofu. Moja ya sababu zilizomfanya ajitenge ni pale alipoukosa Uaskofu alioutarajia kwa hamu kubwa kwa sababu alikuwa anapendwa na waamini wengi wa mji huo.
Hata Zamani Waisraeli Waliomba Kupitia Mungu Siyo Yesu.. Sasa Huoni kwa Akili yako Hata Ww Una Mafundisho Potofu?Soma maandiko vizuri wakati Yesu anajiandaa kupaa aliwapa Muongozo wanafunzi wake soma Luka 24: 49 ina sema hivi" Na tazama, nawaletea juu yenu ahadi ya Baba yangu, lakini kaeni humu mjini hata mvikwe uwezo utokao juu. Msisitizo wake ni ujio wa roho mtakatifu na kuthibisha hilo ukisoma matendo ya mitume. Siku ya pentecoste mitume walivyojazwa nguvu ya roho wa Mungu aliyewapa ujasiri na nguvu mpya na kuwatoa hofu mioyoni mwao. Na ukisoma biblia yako hakuna hata sehemu moja watu wanaomba kupitia maria hayo ni mafundisho potofu.
Nataka jibu ile back ground pic ile sura ni ya nani...??Hili fungu linawahusu Marko 7:6-9. Yesu akinukuu kitabu cha Isaya anasema. "Isaya alitabiri vema juu yenu...watu hawa hunishemu kwa midomo yao bali mioyo yao iko mabali nami....ninyi mwaiacha amri ya Mungu na kufuata mapokeo?" Kama Biblia ni mapokeo, Yesu asingekemea kufuata mapokeo badala ya neno la Mungu.
Nyinyi watu, mnajifanya mnalijua kanisa Katoliki kumbe mnaingia chaka...New catholic(More spiritual I think).....Karsmatiki
Hapo ndo huwa sielewagi kabisa msimamo wa catholic ni upi?Ni kwl mkuu nina mjomba wangu ni padri nilienda kumtembelea pale ofcn kwao kurasini nkakuta friji yake imejaa mivinyo plus bia za kutosha akawa anapga bia kama kawaida kwhyo kwa mujibu wa biblia yao pombe kwao ni halali kbsa sikushangaa hata maparoko huwa wananyonya sana mivinyo