MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Kaka mbona povu sana mpaka unashindwa kuandika vizuri?

Umeshapata copy yako ya Biblia mpya ya Kisabato? Ipakue hapa

Clear Word Exposed

Ni ajabu sana, Katoliki wamekaa na hiyo Biblia kwa zaidi ya miaka 2000 na hawakuthubutu kubadirisha hata nukta moja ya andiko lolote na walikuwa na uwezo wa kufanya hivyo, lakini walikuwa na hofu ya Mungu na katiak ukatoliki hata Papa hawezi ku temper na Bible,

Kaja Luther kaanza kutemper na bible mara sitaki Ufunuo mara Makabayo, mara Jakobo, mara rudisha ufunuo, uzuri wake yeye alikuwa na misingi ya Kikatoliki hivyo alitoa vitabu vizima vizima,

Cha ajabu hawa wasabato ambao hawana hata miaka 200, wameshaanza kuibadirisha Biblia, wanaweka maneno yatakayoendana na mafundisho ya uongo ya nabii wa Uongo Mpinga Kristo bibi Ellen,

Someni hiyo link hapo juu kuona hiyo Bibliamya Kisabato

Cc: Otorong'ong'o , jiwe la majiwe kandere , Kitaja , Ntuzu
Inasikitisha sana....

Na ajabu Wasabato wa huku huenda hawajui...
 
Nipe andiko linalisema tutumie picha kwa ajili ya kufundishia....Tusipotezeane muda
Nimekuachia jamaa anyeitwa fst, jibu hoja zake kwanza kisha ndo uje,nimegundua darasa ninalokupa ni oversize kwako na kwa wenzio
 
Ina ninyi mkiona picha yeyote tu mnajua ni sanamu? Tatizo lenu ibada ya sanamu imewajaa kichwani
Kitaja bana!

Nilikuambia ni muda utakao ongea....Nyie nyie ndio mtakao kuwa wa kwanza kuyatekeleza mafundisho ya Kanisa Katoliki bila kujua...yani kiulaini..

We mwenyewe unaweza kuona, unatetea picha hapa kama vile Mkatoliki....Yani mimi nimegeuka Msabato na wewe umegeuka mkatoliki bila kujua...
Nzuri sana...na bado...ni muda tu utaongea ndugu...
 
Nimekuachia jamaa anyeitwa fst, jibu hoja zake kwanza kisha ndo uje,nimegundua darasa ninalokupa ni oversize kwako na kwa wenzio
Mbona unakwepa kunipa andiko ndugu..

Huyo fst ni kichaa

Msome hapa ndugu yako, soon anakugeuka
hawa jamaa wanao jiita wasabato hawa watu walishilikiana kuakikisha ukiristo unapotea kabisa.. Lkn Mungu muacheni aitwe Mungu
 
Swala la mamlaka.... dhehebu la kathorici haliwezi kukwepa utabili wakitabu cha ufunuo kwasababu viashilia vingi vilivyiomo ndani ya kitabu cha ufunuo tunauona ndani yakanisa hili .. Kuwauwa mitume wa yesu pia na wakiristo wa mwanzo wa kipindi hicho kuukandamiza ukiristo pia hayo yote yitekelezwa naHawa Rc ..hawa Rc wasasa kwakipindi hicho walifahamika kama dora la kiroma ..tunamengi ya kusema kuusu kathoric pamoja na hawa jamaa wanao jiita wasabato hawa watu walishilikiana kuakikisha ukiristo unapotea kabisa.. Lkn Mungu muacheni aitwe Mungu
Hayo mengine uko sawa, ila hapo kwenye bold nadhani umechanganya madesa. sijui ni wasabato gani unaowazungumzia, kama ulimaanisha Waadvenstista wasabato au Seventh Day Adventist Church, basi fuatilia vizuri chanzo chako cha taarifa hiyo. Wasabato kamwe hawana shirika na wakatoliki, yaani ni kama nuru na giza. ila unafaa kuwa mwalimu wa akina Otorong'ong'o ,Kituko na wenzao.
 
Mbona unakwepa kunipa andiko ndugu..

Huyo fst ni kichaa

Msome hapa ndugu yako, soon anakugeuka
Huyo wala hanipi shida, ila nikiwaweka kwenye mizani wewe na huyo fst anakuacha kwa mbali sana kwa ujuzi wa maandiko. Angalau fst anagusa fact zilizoko kwenye Biblia. Ila wewe na wakatoliki wenzio mmekalia propaganda tupu hakuna hata ushahidi wa Biblia katika mada zenu, kwa nini fst asionekane ni mjuzi kuliko ninyi nyote? Nawapa shauri mkajifunze kwake.
 
Hayo mengine uko sawa, ila hapo kwenye bold nadhani umechanganya madesa. sijui ni wasabato gani unaowazungumzia, kama ulimaanisha Waadvenstista wasabato au Seventh Day Adventist Church, basi fuatilia vizuri chanzo chako cha taarifa hiyo. Wasabato kamwe hawana shirika na wakatoliki, yaani ni kama nuru na giza. ila unafaa kuwa mwalimu wa akina Otorong'ong'o ,Kituko na wenzao.
Hahahahahaha!!!

Mugambo mnaruka na kukanyagana...Daah

Nipo kipembeni...
 
Huyo wala hanipi shida, ila nikiwaweka kwenye mizani wewe na huyo fst anakuacha kwa mbali sana kwa ujuzi wa maandiko. Angalau fst anagusa fact zilizoko kwenye Biblia. Ila wewe na wakatoliki wenzio mmekalia propaganda tupu hakuna hata ushahidi wa Biblia katika mada zenu, kwa nini fst asionekane ni mjuzi kuliko ninyi nyote? Nawapa shauri mkajifunze kwake.
Jibu swali nililokuuliza....

Nipe andiko linalosema tutumie picha kwa ajili ya kufundishia...
Mbona unakwepa hapa..

Achana na fst...tupo mimi na wewe...

Kule kwa kituko bado hujamjibu kuhusu Clear Wird Bible....... umeona Biblia yenu....??? Badala ya kubwabwaja hapa ungefanya uchunguzi wako...wewe ni mbumbumbu na kanisa lako...yani hujui kinachoendelea huko kwenye kikundi chenu cha kiharakati...
 
Sina muda wa kujibu propaganda zenu. Nilishasema kazi mnayofanya ni ya mwovu na kamwe hamtafanikiwa
 
Huyo wala hanipi shida, ila nikiwaweka kwenye mizani wewe na huyo fst anakuacha kwa mbali
Nipe andiko ndugu...mbona unakimbia aisee....Achana na fst....Mbinu yako ya kukwepa swali langu nimeshaigundua...hahahaha
 
Sina muda wa kujibu propaganda zenu. Nilishasema kazi mnayofanya ni ya mwovu na kamwe hamtafanikiwa
Propaganda gani...???

Wewe kwa kinywa chako umesema ni ruksa kutumia picha kwa kufundishia....

Nikakwambia nipe andiko linaloruhusu hayo....(Hapo kuna propaganda gani..?)
 
Nipe andiko ndugu...mbona unakimbia aisee....Achana na fst....Mbinu yako ya kukwepa swali langu nimeshaigundua...hahahaha
Nionyeshe hata andiko moja tu kutoka katika Biblia ulilowahi kutumia tangu mjadala huu uanzishwe hapa. Kama ni mafungu ya ibada ya sanamu yapo tele katika kutoka 20: 4-5. "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao'. Zaburi 115:4-8. "sanamu zao za fedha na dhahabu, kazi ya mikono ya wanadamu...."; Ufunuo 9: 20-21. " Na wanadamu waliosalia, wasiouawa kwa mapigo hayo, hawakuzitubia zile kazi za mikono yao, hata wasiwasujudie mashetani, na sanamu za dhahabu na za fedha na za shaba na za mawe na za miti, zisizoweza kuona wala kusikia wala kuenenda".
Umeona picha ikisemwa hapo? Mafungu yote hayo yanaeleza kuwa sanamu ni nini na adhabu itakayowapata wanaozitengeneza/chonga na kuzisujudia. Hapa zimetajwa kabisa ni sanamu za fedha, dhahabu, shaba, mawe, miti, Hizi ndizo sanamu zinazosemwa upo hapo? na hizo ndizo zimejaa Roman Catholic. Hakuna kichaka cha kujificha, acheni ibada ya sanamu, Mungu amekataza.
 
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.

Hapo kwenye Red!

Usijifanyie chochote...Picha ile mmejifanyia...Je! Wapi pameruhusu kujifanyie picha...?

Amri hiyo ina makatazo mawili..
Usijifanyie na
Usiviabudu au kuvisujudia...

Bado unakwepa swali langu...hutaki kulijibu
 
Umeona picha ikisemwa hapo? Mafungu yote hayo yanaeleza kuwa sanamu ni nini na adhabu itakayowapata
Kwa hiyo kwakuwa picha haijasemwa ni ruksa siyo.. ??

Hebu twende kisomi...

Kabla ya kutengeneza Sanamu, lazima uwe na picha ili utengeneze sanamu.....Maana yake huwezi tengeneza sanamu kama huna picha...

Kitaalamu tunasema Picha inakuwa kwenye 2D/3D conformal....sasa unatumia 2D ama 3D kutengeneza kitu halisi (Statue) ambayo ni 4D picture....

Kitaja bana...Kadiri unavyojitutumua kujibu ndivyo unavyozidi kuharibu...Ni kama unajifanya msemaji wa kikundi chako cha SDA.....

Ni bora ukakaa kimya..sio kila kitu cha kujibu...
 
Huna hoja, mafungu ya Biblia niliyokuwekea yamekuchoma barabara. Lakini kama Nabii Yohana alivyotoa unabii kuwa, hao waasi pamoja na kupata mapigo bado hawakuacha ibada ya sanamu za miti,mawe, shaba, dhahabu. Wala hawakuacha kuabudu mashetani. Unabii huu ni maalum kwa wakatoliki, licha ya ushahidi wote wa Biblia bado mnakumbatia ibada ya sanamu!
 
Huna hoja,
Hoja ninayo....Na hoja yangu nimejenga kwa mfumo wa Swali...Swali lenyewe ni hili..

Nipe andiko linalosema tutumie picha kufundishua....nipe andiko linalosema pichs ni ruksa....

mafungu ya Biblia niliyokuwekeo yamekuchoma barabara
Yamenichoma kivipi labda...Maana hizo ngonjera zako hujazianza leo...huu uzi una muda...

. Lakini kama Nabii Yohana alivotoa unabii kuwa, hao waasi pamoja na kupata mapigo bado hawakuacha ibada ya sanamu za miti,mawe, shaba, dhahabu. Wala hwakuacha kuabudu mashetani. Unabii huu ni maalum kwa wakatoliki, licha ya ushahidi wote wa Biblia bado mnaklumbatia ibada ya sanamu!

Umesema Biblia imeruhusu picha...? Nimekuomba unipe andiko ku-support hiyo kauli..

Unazunguka zunguka kama tiara....Mimi nasubiri jibu...labda ukatafute kwenye Clear Word bible ya Kisabato..

Teh teh teh...daah
 
Hoja ninayo....Na hoja yangu nimejenga kwa mfumo wa Swali...Swali lenyewe ni hili..

Nipe andiko linalosema tutumie picha kufundishua....nipe andiko linalosema pichs ni ruksa....

Yamenichoma kivipi labda...Maana hizo ngonjera zako hujazianza leo...huu uzi una muda...

Umesema Biblia imeruhusu picha...? Nimekuomba unipe andiko ku-support hiyo kauli..

Unazunguka zunguka kama tiara....Mimi nasubiri jibu...labda ukatafute kwenye Clear Word bible ya Kisabato..

Teh teh teh...daah

Sanamu ni hizo hapo
upload_2017-1-19_0-41-54.png

upload_2017-1-19_0-42-55.png

upload_2017-1-19_0-43-47.png

upload_2017-1-19_0-44-33.png

Wana masikio lakini hawasikii, jamani Mungu amekataza kujifanyia sanamu na kuziabudu, enyi waroma mwogopeni Mungu.
 
Mbona unakwepa swali langu.....?
Yaaani majibu yote hayo umetoka kapa! Pitia tena hizo sanamu halafu uniambie mmepata wapi kibali cha kuzisujudia kama ilivyoonyeshwa hapo.Kama huna jibu, nyamaza na uwe tayari kielimishwa.
 
Back
Top Bottom