Habari wadau wenzangu wa Jamii Forum, naomba maoni yenu juu ya kilimo cha zao la mpunga. Napenda pata mawazo yenu juu ya suala zima la kilimo cha mpunga katika kujikwamua kimaisha, nimepata kiasi kidogo cha mkopo nataka peleka katika kilimo ili maisha yaweze songa mbele. Mchango wenu wadau.
People naomben msaada wenu
Hiyo aridhi ya elfu hamsini kwa eka inapatikana wapi mkuu?
Unaweza ku control hayo maji?Hello...
Khabar zenu wapendwa..
Nina shamba la ecre nne lipo bagamoyo.. Maji yake yanafika magotini.. Je linafaa kwa kilimo cha mpunga??.. Na je... Ni mbegu gan nitumie??..
Inahitaj kuona shamb kwanza ndo mtu apate wazo... Hapo nitakwambia piga mtaro... Weka pampu... Lkn ww ndo unajua jografia ya eneoHapana... Sijajua hta nitumie njia gan kuyacontrol hayo maji yatokee.. Maana shamba langu lipo bondeni na niyo hukimbilia hapo maji yote..
Unaweza ukanielekeza njia za kucontrol hayo maji..
Me ni mgeni katika kilimo ndo nataka nianze nahitaj sana msaasa wenu
Hapo inabidi ufahamu Hayo maji yanaanza kuingia mwezi gani ili uandae miche yako pindi maji yakianza kuingia ndipo uanze kupandikiza kabla hayajawa mengi zaidi hii itasaidia kwa sababu kuna baadhi ya mbegu za mpunga huwa zinalefuka kufuata level ya maji ila tu yasiwe maji yanayotembea kwa nguvu hivyo mbegu itakayo kufaaa ni "Uhuru"Hello...
Khabar zenu wapendwa..
Nina shamba la ecre nne lipo bagamoyo.. Maji yake yanafika magotini.. Je linafaa kwa kilimo cha mpunga??.. Na je... Ni mbegu gan nitumie??..