MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

gunia la mpunga ni sawa na debe ngapi? zikishakobolewa.
 
Bei za mazao huwa zinabadilika kulingana na uhitaji wa walaji,ubora wa zao lako na mahali unapotaka kwenda kuuzia. Bei uliyotajiwa leo sio lazima iendelee kuganda hapo ilipo hata kipindi utakachovuna wewe.Hiyo 45000 inaweza kuongezeka au kupungua.

Kwakuwa umeshalima na inaonyesha ulifuata mkumbo basi weh vuna then utafute masoko mazuri. Kama unaogopa ukidhani hutopata faida tangaza biashara uuze hilo shamba pamoja mpunga uliopo wapo Risk taker watakusaidia kukibeba kile kinachokupa hofu.
 
Wakuu kwa kumsaidia mdau mnaweza kumpa mchanganuo kwa anayeua mfano mnaweza kusema yafuatayo:-
  • Bei ya mpunga / mchele vijijini mfano mbeya ni bei fulani wakati wa mazao
  • Bei ya Mchele wa sehemu fulani mfano ni bei kiasi fulani wakati wa mavuno na inapanda mpaka kiasi fulani
  • Dar sokoni ni kiasi fulani mpaka fulani...

Unajua tena hapa ni kusaidiana ukizingatia mdau ameshakula ngombe mzima hapa anahitaji msaada wenu kumalizia mkia; na sababu yeye anaona kwa sasa hailipi mnaweza kumshauri miezi na sehemu ya kuuzia; au labda kumshauri akianika na kukoboa kama anaweza kupata faida zaidi (na hio ziada ni kiasi gani)
 
Yeye avune aweke stock maana mpunga hauozi,ila biashara ya mchele imeshakua kimeo siku hizi,bei ya rejareja imegomea kwenye 1000 hadi 1200.
 
Imported rice imeua soko la mchele. Wakulima moro Wanalalama mchele hadi Tsh 800 kilo.
 
Mutedian,

Kaka hicho kilimo cha mpunga ni pasua kichwa usiombe! waachie wakulima ambao wao huwa hawahesabu nguvu kazi yao lakini kwa wewe ambaye kila kitu unatumia pesa huta kaa uione faida hata hiyo elfu 45 wakati wa mavuno ni kubwa sana,huwa inafikia hata 30!

wanaofaidika ni wafanya biashara ambao wanakuja kununua huo mpunga japo nao kuna changamoto wanapata ila sio kama za mkulima.Na ukizingatia na huu uingizaji wa mchele toka nje huku wakipinga marufuku uuzaji wa mazao nje ya nchi.kwa maelezo zaidi unaweza pm.
 
soko la mpunga/Mchele halilipi kwa sasa kutokana na serikali kuagiza mchele kutoka nje ya nchi hivyo kufanya bei ishuke sana.
mwanzo nilikuwa natuma sudan bt nw sudan hamna amani tena ni vita.
 
Akitaka kuondoa shilingi, Mhe.Msnyika anashauli kufumua bajeti ya Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kwa kile anachodai kuwa bajeti hiyo imetenga fedha nyingi kwenye mafunzo na posho badala ya kwenda kwa wakulima.

Mhe. Halima Mdee na Machali wanasema ni aibu kwa kilimo kukua kwa asilimi 4 wakati kuna fedha nyingi zinatengwa kwenye utafunaji.

Sina hakika kama wabunge wa Upinzani wanajua wanachochangia. Mhe. Waziri wa Kilimo anaummuliza Mhe. Machali kama anajua "Systems of Rice Intensification" (teknolojia ya kilimo shadidi cha mpunga).
 
Sio peke yake ukisikiliza changizi za wabunge wengi wa chadema utagundua wana uelewa mdogo wa mambo
 
ngoshwe,
Sasa kama angejua maana yake ingesaidia nini kujibu hoja yake?Let me enlighten you about our so called the BRAINS of our nation.Many of them are so good at spewing JARGONS & TERMINOLOGIES but very horrible on the practical knowledge.I am not surprised with the Minister's irrelevant and ridiculous question on the SYSTEMS OF RICE INTENSIFICATION.
 
Sijui kama wewe pia unajua suala walilokuwa wanaongelea! In short issue ya jamaa ilikuwa ni kwanini hakuna uhusiano wa mafunzo ya wataalamu wa wizara na wakulima! wakitaka bajeti ifumuliwe then pesa zigawanywe kwa usawa ili wataalamu wakipata mafunzo wakutane na wakulima nao wakiwa na ABCD...!
 
ngoshwe,

Ndugu mbona unaweka thread ya kujivua nguo, kwani hoja uliyoiweka inasimamia kuwa Budget iliyopangwa imejikita kwenye mafunzo na Posho vitu ambavyo havina Impact na ndio maana ukuaji wa Kilimo umekuwa mdogo, sasa iki alichokiuliza huyu Waziri kinasimamia wapi katika hoja hiyo?
 
Akitaka kuondoa shilingi, Mhe.Msnyika anashauli kufumua bajeti ya Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kwa kile anachodai kuwa bajeti hiyo imetenga fedha nyingi kwenye mafunzo na posho badala ya kwenda kwa wakulima.

Mhe. Halima Mdee na Machali wanasema ni aibu kwa kilimo kukua kwa asilimi 4 wakati kuna fedha nyingi zinatengwa kwenye utafunaji.

Sina hakika kama wabunge wa Upinzani wanajua wanachochangia. Mhe. Waziri wa Kilimo anaummuliza Mhe. Machali kama anajua "Systems of Rice Intensification" (teknolojia ya kilimo shadidi cha mpunga).

= anashauri

Kitendee haki Kiswahili, ni lugha yako ya Taifa.
 
ngoshwe,
huu ndiyo ugonjwa wa CCM kukwepa hoja kwa ujinga wa kutumia misamiati isiyo na uhusiano na hoja ya msingi kutetea uozo wao.
 
Bajeti ya kilimo ni hohehai, huku wabunge wa ccm wakishangilia upuuzu ule! Wakulima kwa kweli wametupwa sana na serikali hii ya mainterahamwe!
 
Uwingi was wabunge was ccm bungeni ni janga la Taifa. Namshangaa hata Ester Bulaya anaunga mono ujinga kwa wizara kutenga ada ya wanafunzi MILLION moja huku accommodation billion 2.6
 
Uwingi was wabunge was ccm bungeni ni janga la Taifa. Namshangaa hata Ester Bulaya anaunga mono ujinga kwa wizara kutenga ada ya wanafunzi MILLION moja huku accommodation billion 2.6
bulaya alikuwa zamani, siku hizi ni hana jipya, zaidi ya kujigonga gonga kwa mafisadi!
 
Back
Top Bottom