Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio peke yake ukisikiliza changizi za wabunge wengi wa chadema utagundua wana uelewa mdogo wa mambo
Akitaka kuondoa shilingi, Mhe.Msnyika anashauli kufumua bajeti ya Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kwa kile anachodai kuwa bajeti hiyo imetenga fedha nyingi kwenye mafunzo na posho badala ya kwenda kwa wakulima.
Mhe. Halima Mdee na Machali wanasema ni aibu kwa kilimo kukua kwa asilimi 4 wakati kuna fedha nyingi zinatengwa kwenye utafunaji.
Sina hakika kama wabunge wa Upinzani wanajua wanachochangia. Mhe. Waziri wa Kilimo anaummuliza Mhe. Machali kama anajua "Systems of Rice Intensification" (teknolojia ya kilimo shadidi cha mpunga).
Sio peke yake ukisikiliza changizi za wabunge wengi wa chadema utagundua wana uelewa mdogo wa mambo
bulaya alikuwa zamani, siku hizi ni hana jipya, zaidi ya kujigonga gonga kwa mafisadi!Uwingi was wabunge was ccm bungeni ni janga la Taifa. Namshangaa hata Ester Bulaya anaunga mono ujinga kwa wizara kutenga ada ya wanafunzi MILLION moja huku accommodation billion 2.6
sio peke yake ukisikiliza changizi za wabunge wengi wa chadema utagundua wana uelewa mdogo wa mambo