MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

much Thnx MKUU ssl.Janaury naingia Front na EKA chache kwaajili yakujifunza!
 
Uki process na ku pack unaweza kuuza nje ya chi,

Na wakulima tulikuwa tunataka soko la nje lakini wamelifunga hata kama ukiprocess, hivyo tunakufa kwa ajili ya tenda ya kuleta mchele kutoka nje aliyopewa solo one na wahindi ambao ni marafiki zake
Tunaomba serikali ifungue soko la nje ili kusitokee tatizo kubwa kwa sababu huu ni muda wa maandalizi ya kilimo cha mpunga
Kwa habari zilizotufikia hadi sasa wakulima hata wa zao la mahindi katika mkoa wa songea bado nao wanahangaika kupata soko la zao hilo
 
Ngoja niwaambie, soko ipo achana na serikali na mchele unanunuliwa mno
 
Na wakulima tulikuwa tunataka soko la nje lakini wamelifunga hata kama ukiprocess, hivyo tunakufa kwa ajili ya tenda ya kuleta mchele kutoka nje aliyopewa solo one na wahindi ambao ni marafiki zake
Tunaomba serikali ifungue soko la nje ili kusitokee tatizo kubwa kwa sababu huu ni muda wa maandalizi ya kilimo cha mpunga
Kwa habari zilizotufikia hadi sasa wakulima hata wa zao la mahindi katika mkoa wa songea bado nao wanahangaika kupata soko la zao hilo

Hivi huyu Solo One hapo pekundu anaweza kuwa anashiriki biashara zote nchi hii, au tunampakazia baadhi ya biashara si zake? Kila kona utasikia ni biashara ya Solo One, hii ina maana jamaa ni tajiri sana?
 
Mbona uko kinadharia sana mzee? Wacha kukurupuka watu wako kwenye majanga.

Soko siyo kwamba haipo, ni kiasi cha kuwa mbunifu tu kwenye biashara utasonga mbele, watu wanafanya biashara kwa mazoea!
 
Kwa wale wakulima wazoefu wampunga naombeni ushauri juu ya kilimo ichi husuasani gharama zake kuanzia

kukodi shamba mpaka mavuno na storage kwa eka moja, vilevile maeneo muhafaka kwa kilimo hiki.
 
Naomba ushauri wakuu,nitumie dawa gani kuua magugu ya aina zote kwenye shamba la mpunga ili ubaki mpunga peke yake?
 
mimea ipo ya mono na dycotyledone,vivohivyo magugu pia,mpunga ni monocotyledone,kuna dawa kwa ajil ya magugu ya mono na dycoteledone pia,ili uweze kuchagua dawa vizur yapaswa kuelewa vitu hvyo...
 
mimea ipo ya mono na dycotyledone,vivohivyo magugu pia,mpunga ni monocotyledone,kuna dawa kwa ajil ya magugu ya mono na dycoteledone pia,ili uweze kuchagua dawa vizur yapaswa kuelewa vitu hvyo...
Duuh,mbona kazi ipo!
 
Duuh,mbona kazi ipo!

s Kenya: Cheaper weed control



Some farmers jump to conclusions about chemicals being too expensive without taking the time to calculate the costs of not using the most efficient ways of farming.
An article published in the African Executive in February 2007 describes how the weedkiller paraquat can increase farmers' revenues. One farmer in Eastern Kenya, with a fifteen acre farm hired casual laborers to do manual weeding – until he suddenly realized how expensive it was.
Here are the economics behind his thinking:

  • A casual laborer is paid Ksh. 250* (2.72 &#8364😉 a day (including lunch and tea breaks).
  • For 15 acres, 5 workers are needed for 10 days: Ksh. 20,000 (218 &#8364😉.
By the time the entire farm was weeded, weeds had already re-established where it was weeded first and that meant investing more time and money in weeding operations. In one growing season, he could spend on average Ksh. 50,000 (545&#8364😉 on weeding alone.
In 1998, a friend of his introduced him to the chemical Gramoxone, the commercial name of a paraquat-based product. Gramoxone is a very efficient herbicide and kills all weeds within hours after its application. A liter of Gramoxone which costs Ksh. 2,000 (21.8 &#8364😉 can spray an acre of land or more and only one application is needed . Two people take at most 4 days to spray the 15 acre piece of land. By paying them Ksh. 250 (2.72 &#8364😉 a day, and spending Ksh.2,000 (21.8 &#8364😉 on Gramoxone per acre, he spends at most Ksh. 32,000 (350 &#8364😉.
The benefits of using Gramoxone can therefore be summarized in 3 points:

  1. Savings: Ksh.18,000 (195&#8364😉 per season,
  2. Fewer days work
  3. Laborers are spared injuries and possible disfigurement from back-breaking hand weeding.
Read full article of the African Executive here
*100 Kenya Shillings = 1.1 euros (exchange rate dated 10/3/07)



oma hapa basi

pole niituma the wrong post.usifuate haya maagizo plis.this mostly applies for maize.
 
Habarini.

Nahitaji kushauriwa kuhusu soko la mpunga.

Kwani ndo nimeanza kulima hekar kadhaa na miezi 2 ijayo natarajia kuvuna.

Watu wa huko wanasema gunia la mpunga wanauza 45000 na nikifanya hesabu naona sipati faida ilee nzuri yaani. Je, nifanyeje?

Ni morogoro
 
mkuu,shamba lako liko wapi,gunia unalosema ni sawa na madepe mangapi,unaposema hupat faida kwan kuzalisha hilo gunia unatumia sh ngap,.......naomba utoe mchanganuo
 
unauliza bei ya soko wakati mpunga ushaumwaga shambani?
We jamaa unajitafutia presha!
 
Back
Top Bottom