Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uki process na ku pack unaweza kuuza nje ya chi,
Ngoja niwaambie, soko ipo achana na serikali na mchele unanunuliwa mno
Uki process na ku pack unaweza kuuza nje ya chi,
Na wakulima tulikuwa tunataka soko la nje lakini wamelifunga hata kama ukiprocess, hivyo tunakufa kwa ajili ya tenda ya kuleta mchele kutoka nje aliyopewa solo one na wahindi ambao ni marafiki zake
Tunaomba serikali ifungue soko la nje ili kusitokee tatizo kubwa kwa sababu huu ni muda wa maandalizi ya kilimo cha mpunga
Kwa habari zilizotufikia hadi sasa wakulima hata wa zao la mahindi katika mkoa wa songea bado nao wanahangaika kupata soko la zao hilo
Mbona uko kinadharia sana mzee? Wacha kukurupuka watu wako kwenye majanga.
Duuh,mbona kazi ipo!mimea ipo ya mono na dycotyledone,vivohivyo magugu pia,mpunga ni monocotyledone,kuna dawa kwa ajil ya magugu ya mono na dycoteledone pia,ili uweze kuchagua dawa vizur yapaswa kuelewa vitu hvyo...
Duuh,mbona kazi ipo!
Mkuu Kingdom_man nipe update je ulienda kulima?Asigwa. Nashukuru sana kwa USHAURI wako. Shukrani