MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

ukitaka demu wako asimegwe?
Ahaah!very simple,umewahi kuona jani kavu la mhindi likipepea angani na kimbunga?basi unalifukuzia lile jani mpaka unahakikisha umelidaka kabla halijagusa ardhi. Baada ya hapo kalichome moto, chukua majivu yake kisha changanya na unga wa tangawizi.Paka huo unga kwenye kichwa ya mtulinga wako,then mwingilie your dearest one,she will never cheat on you!
 
Naomba utuweke sawa, ukikaanga ki2 unapatapata mjivu kweli au kuchomaaaaa
 
Ahaah!very simple,umewahi kuona jani kavu la mhindi likipepea angani na kimbunga?basi unalifukuzia lile jani mpaka unahakikisha umelidaka kabla halijagusa ardhi.Baada ya hapo kalichome moto,chukua majivu yake kisha changanya na unga wa tangawizi.Paka huo unga kwenye kichwa ya mtulinga wako,then mwingilie your dearest one,she will never cheat on you!
Mweee.....hizi teknolojia za asili mbona ngumu namna hii.
 
Wataalam na wadau wa kilimo cha zao la mpunga tafadhali naomba ushauri wenu; nina mpango wa kulima ekari 15 za mpunga kwa mwaka huu. Tayari shamba nimeandaa pamoja na mbegu, ninachohitaji kwenu ni ushauri wa dawa aina gani (herbicide) niitumie wakati wa palizi ili nisije nikaathiri au kuua mpunga wangu! Karibuni kwa ushauri.
 
Wataalam na wadau wa kilimo cha zao la mpunga tafadhali naomba ushauri wenu; nina mpango wa kulima ekari 15 za mpunga kwa mwaka huu. Tayari shamba nimeandaa pamoja na mbegu, ninachohitaji kwenu ni ushauri wa dawa aina gani (herbicide) niitumie wakati wa palizi ili nisije nikaathiri au kuua mpunga wangu! Karibuni kwa ushauri.
 
Ok poa,mi mwaka jana nililima mpunga ekari 10 na mwaka huu natarajia kulima 20 hvi. Ili upate ushaur mzur ni vema ukasema utalimia sehem gan?
 
Mkuu Kajole au yeyote anisaidie na mimi. Nataka kulima Dakawa kwa njia ya kukodi shamba. Naomba kujua yafuatayo 1. gharama ya kukodi ekari moja 2. Bei ya mbegu 3. Kiasi cha mbegu kwa ekari 4. Madawa 5. gharama za kulima 6. gharama za madawa 7. mavuno ya juu na ya chini kwa ekari 8. muda wa kupanda hadi kuvuna
 
Mi ningemshauri mtu yeyote anayetaka kuanzisha mradi wowote asianzishe kwa majaribio au kama part time inayokosa proper concentration, vinginevyo ataishia kukiri kutofaidika na mardi na kisha kutoa mchango hasi juu ya mradi huo.

Naona walio wengi katika Jf wanataka kufanyia kazi habari za kusikia sikia tu bila kuzifanyia upembuzi yakinifu yaani kujishughulisha kwa kina kujua kila kitu kuhusu mradi.

Kwa Ifakara, Mang'ula, Kiberege, Mkula nk, ni bora mjasiriamali wa kuja akanunua mchele na kuuza mbali badala ya kulima mpunga. Katika kipindi cha mavuno, yaani june,julai mpaka August watu huvuna mpunga na kuuza kwa bei ndogo sana, hasa sehemu za Chita, Mngeta na Mlimba, na kisha mchele huohuo huuzwa kwa bei karibia mara tatu yake baada ya muda mfupi wa miezi mitatu tu yaani November,december mpaka march.

Sasa mdau, kama kweli unataka kukwepa adha ya kulima mpunga,na kupata faida ya muda mfupi fanya kununua mchele badala ya kulima mpunga. kule ni bondeni, kuna mito mingi which means pia kuna malaria nk, mdau kash kash hizo baba utazimudu?

Halafu kuna vishawishi vya ndogondogo kama alivyosema mdau hapo juu, si utamalizia mtaji huko? Naomba ufikirie mara mbili mdau kabla hujaamua!
 
Salaam wadau
Nimepata wazo na hulka ya kujikita katika kilimo nafikiria zaidi ukulima wa Mpunga kwa kukodi shamba kulima na kuuza mazao. Sasa naombeni wataalamu au wazoefu mnifamishe ni eneo gani nzuri lenye rutuba kwa kilimo cha Mpunga na kwa kukodi ni bei gani kwa hekari?!. Sijawi kufanya biashara hii ya kilimo. Naomba unaambie risks za kilimo cha mpunga. Na faida Mfano gunia ni bei gani?!.

Nipo kibiashara zaidi kama mpunga ni usumbufu basi Naomba pia ushauri ni mazao gani yatalipa na time interval ya kupata faida?!

Tusaidiane jamani.
 
Mkuu mbona umeshachelewa kufanya hiki kilimo cha mpunga?

Maana Hata shamba la kulima bado hujapata, watu wameshapanda muda mrefu huko mashambani na mpunga umeota tayari.

Mimi nafikiria fanya kilimo kingine achana na mpunga muda huu mwaka ujao andaa shamba mapema kabla ya Decemba utavuna vizuri mpunga.

NB: Waweza kufanya kilimo kingine cha mahindi, alizeti, n.k. au zao lingine lolote kutokana na eneo utakalopata.
 
Jipange msimu ujao wa kilimo

Kama anataka kulima mpunga mkoa wa pwani, na akapata shamba la kukodi mwezi huu wa January, anaweza kuwahi msimu wa mvua.

Akipaia shamba na akaliandaa shamba vizuri ndani ya mwezi February, atawahi mvua zinazoanza mwezi March (mkoa wa pwani).

Ila inabidi afanye haraka sana vinginevyo atalima shamba dogo kwa ajili ya muda wa maandalizi kuwa mfupi sana.
 
Kama anataka kulima mpunga mkoa wa pwani, na akapata shamba la kukodi mwezi huu wa January, anaweza kuwahi msimu wa mvua.
Akipaia shamba na akaliandaa shamba vizuri ndani ya mwezi February, at#awahi mvua zinazoanza mwezi March (mkoa wa pwani).
Ila inabidi afanye haraka sana vinginevyo atalima shamba dogo kwa ajili ya muda wa maandalizi kuwa mfupi sana.

Asante mdau. Kwahiyo nikikomaa na kilimo cha mpunga naweza pata pesa ya ya kujikimu sio?
Zaidi ya pwani mkoa gani mwingine naweza pata kwamba la kukodi kwa being raisi.
Asante sana!
 
Back
Top Bottom