Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 1-2 Novemba 2022.
View attachment 2401310
#pikia #gesi #nishati #safi #LPG #mkaa #wa #mawe #acha #kuni #mkaa #wa #miti #tunza #misitu
Nishati safi ya kupikia ni pamoja na umeme ambao kwa sasa ni.mgaoWizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 1-2 Novemba 2022.
View attachment 2401310
#pikia #gesi #nishati #safi #LPG #mkaa #wa #mawe #acha #kuni #mkaa #wa #miti #tunza #misitu
Nishati safi ya kupikia hahitaji mjadala, inajulikana ni Umeme na Gesi hizo ndio nishati za kupikia unlesa kama Tanzania tuna nyingine ya utofauti sanaWizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 1-2 Novemba 2022.
View attachment 2401310
#pikia #gesi #nishati #safi #LPG #mkaa #wa #mawe #acha #kuni #mkaa #wa #miti #tunza #misitu
Mkuu ujinga au ulofa ndio adui wetu.Nchi inaendelea kufail kutokana na aina ya viongozi wanaotokana na wazazi wao, sasa hapa tunaletewa mambo ya gesi safi yaani ni sad sana 😰.
Kwanza hiyo gesi kupatikana kwake ni changamoto plus bei hainunuliki au kuna mtu mwenye likampuni kuuuubwaaa la kuuza gesi now anatengenezewa njia kula pesa ya wananchi, awe fukara hama lah!.
Au ndiyo ule muda wa kurejesha palipokuwa na mapungufu.
Boss Clean inayozungumziwa hapo ni pale unapoamua kuilinganisha LPG na mkaa au kuni. Mkaa na kuni ni nishati zinazotoa moshi mwingi na zinazalisha majivu na vumbi. Lakini pia mkaa nakuni vinachafua vyombo vya kupikia. Lakini pia mkaa na kuni ni nishati zinazochangia ukataji miti na misitu yetu. Lakini hayo yote niliyoyaeleza hasababishwi na LPG. Ndio sababu sasa mjadala unakwenda kulenga kuhamasisha watanzania waache kutumia nishati zisizo safi za kuni na mkaa badala yake wahamie kwenye nishati safi.LPG's isn't not a clean gas
Kaa chini tafakari mkuu
Ni kweli lakini ni nishati safi kama ukizilinganisha na mkaa au kuni. Hivyo watanzania wanahimizwa kutumia nishati ya gesi au mkaa wa mawe. Hizo ndio safi kwanza hazitoi moshi, kwanza chakula kinaiva haraka, having vumbi wala moshi. Lakini pia hazichafui vyombo vya kupikia.Mkaa wa mawe na gas are not nishati jadidifu.
Boss nimesoma comment yako. Kweli umeandika mengi. Sasa karibu kwenye mjadala hiyo siku.Kwanini hawazungumzii umeme kama nishati mbadala ya kupikia? Kwanini wanahangaika na gesi ambayo "hatuna" hiyo gesi ipo wapi ya kuunganisha kama maji na kulipa kwa tokens kama anavyosema huyu waziri?
Mna gesi nyie ya kusambaza kaya zote nchi hii na jiografia yake kama maji safi tuu mmeshindwa na maji tunayo?
Watu wetu wataweza kumudu manunuzi ya gesi hizi za ma tycoons akina Rostam?
Hiyo miundombinu ya kuweka ili tupate gesi kama maji mtaiweka kwa pesa gani na itakamilika lini?
Kama anavyosema huyu waziri kwamba tutaweka mitungi kila kaya iyo mitungi serikali itakuwa inaitengeneza na kutua kama ruzuku au mtawategemea hawa hawa mabwanyenye wa gesi iwe kama biashara?
Kwanini wasiache mbambamba watupe umeme wa uhakika na usambae kote mijini na vijijini na waifanye nishati ya umeme isiwe anasa nchi hii?
Zambia ambako umeme ni cheap kuliko gesi wala umeme. Sado moja ya mkaa Zambia ni ghali kuliko umeme. Mtu anaona ni bora anunue jiko la umeme apikage maharage yake maana umeme ni cheap kuliko mkaa wala gesi.
Zambia bei ya umeme ni chini kuliko debe lq mkaa na umeme ni wa uhakika. Kila mtu ana jokofu mbili tatu na umeme huo huo anatumia kupikia. Sasa huku umeme bado ni anasa. Unit 2.5 tunanunua nusu ya dola. Yaani umeme wa TSH 1,000/= ni unit 2.5.
Hivi kweli mpaka leo toka 1960 tunahangaika na Umeme na maji kwa wetu kweli?
Tuache siasa za kijinga imarisheni "leveraging" kwanza nishati ya umeme muone kama watu watapikia huo moshi.
Nchi hii bwana! Kila akija kiongozi anajazwa ujinga anaanza na yake. Inasikitisha sana.
mkaa wa mawe pia ni nishati safi boss.Nishati safi ya kupikia hahitaji mjadala, inajulikana ni Umeme na Gesi hizo ndio nishati za kupikia unlesa kama Tanzania tuna nyingine ya utofauti sana
LPG's isn't not a clean gas
Kaa chini tafakari mkuu