Mjadala mkubwa wa wanachama, washabiki na wapenzi wa Yanga waliopo JF (Wana Simba hawaruhusiwi)

Mjadala mkubwa wa wanachama, washabiki na wapenzi wa Yanga waliopo JF (Wana Simba hawaruhusiwi)

Kuisifu Simba kufanya vizuri kwa sababu ya usajili wa bilioni 1.3 ni kupotoka. Ukweli ni kwamba kile si kikosi cha hicho kiasi cha fedha.

Simba amechukua kombe msimu huu si kwa sababu ina kikosi bora, bali ni kwa sababu ya ubovu wa washindani wake (hususani Yanga na Azam)

Back to the topic. Tatizo la Yanga ni kubwa kuliko usajili wa msimu unaokwisha, tatizo la Yanga mfumo mbovu wa kutegemea fedha za mtu ili kuendesha timu.


Kulikuwa na habari za Dangote kuwekeza Yanga, ziliishia wapi?
 
Timu yetu inahitaji stable income na utaona matokeo,wachezaji hawawezi kucheza kwa moyo na kujituma huku wanadai hela za usajili na mishahara ya miezi 3,Yanga ina wapenzi na washabiki wasiopungua millioni sita tanzania nzima ,tukichukua wapenzi na wanachama 1,000,000 kila mwezi tuchange TZS 1000 au buku timu itaingiza billion moja na hutasikia njaa tena na hapo watapata na hela za kuwekeza kwenye miradi inayolipa.
Hizo pesa zitaenda matumboni mwa viongozi.
Wataanza kujipandishia mishahara na kukaa vikao kila wakati kwenye hotel za kifahari.
 
Vyura wameususia Uzi wako Kama walivyoisusia kandambili fc!

Kwa ufupi Mimi natamani njaaa iendelee mpaka msambaratike na timu lenu lifeee! Na mwakani lishuke daraja rasmi! Shuuubamit!

[HASHTAG]#Kima[/HASHTAG] wa Taifa#
Haya mawazo ya wake weza, bila shaka wewe utakuwa mke wangu mdogo una muombea mabaya mke wangu wa kwanza
 
Usitegemee lolote kwa uongozi wa Mkwasa na Sanga
 
Yanga imekosa kiongozi full stop Mkwassa na Sanga wanatakiwa wapate mtu wa kuwaamuru, wao hawajiwezi.
 
Haya mawazo ya wake weza, bila shaka wewe utakuwa mke wangu mdogo una muombea mabaya mke wangu wa kwanza
Wewe ndio malinzi? Endelea kupigwa paipu Huko segerea na manyampala!!!
 
Wewe ndio malinzi? Endelea kupigwa paipu Huko segerea na manyampala!!!
Acha uganga wa kienyeji, Leo nakuja kukupiga usiku kucha mke mwenzio zamu yake imeisha
 
Back
Top Bottom