Mjadala mzito dhidi ya vyakula vya viwandani na vya asili

Mjadala mzito dhidi ya vyakula vya viwandani na vya asili

FALSAFA

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
293
Reaction score
58
Kwani Hatujambo WanaJF,

Kila Kona Ya Ulimwengu Tunazungumzia Kuhusu Vyakula Vya Viwandani (artificial foodsubrtance) na vyakula vya asili (natural foodstuff).Kwani vipi bora zaidi na zaidi kuliko chenzake?

Je, wanabiolojisti hawalitambui hili na kwanini waendelee kutengeneza vyakula vya viwandani hawajui madhara yake?

Au wanafanya makusudi kuchanaganya makemikali kwenye vyakula?

Nawasilisha kwenu, madokta kujeni hapa kwa mjadala zaidi.
 
Nlikuja Dar nkakonda kweli mivyakula miiiiiingiii artifial mweh
 
Back
Top Bottom