MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Hivyo vingine siwezi kukushauri ila hio ya experience za wengine si sawa. Yanayowatokea wao sio lazima yakutokee wewe. Kwanini usichukue experience positive ya ndoa zilizo imara?
 
Sasa kinachokufanya usioe ni nini
 
Kuoa ni lazima mtu ajipange, kipesa na mahitaji muhimu yawe yanapatikana kwa wakati na sio kitu cha kukurupukia na kumpata mwenza ambae umeridhika nae hapo mtaishi lasivyo utaiona ndoa chungu sana na kujuta maisha yako yote.
 
Hivyo vingine siwezi kukushauri ila hio ya experience za wengine si sawa. Yanayowatokea wao sio lazima yakutokee wewe. Kwanini usichukue experience positive ya ndoa zilizo imara?
Mkuu si kuwa I seek these -ve references, they just happen to be aplenty. Let me ask you this, katika pitapita zako na maisha yako, in a sample of 10 marriages je unakutanaga na positive experience ngapi na negative ngapi?
 
Well...rafiki zangu watano(watatu wadogo kuliko mimi) ni mmoja tu ndoa yake ipo hadi leo. Lakini experience zao hazitaathiri uamuzi wangu kwenye suala hili.
 
Are u intimidating in any way?
 
Ndio mana ulinikataaa kumbe wewe kuolewa sio lazima duuu
 
Kaka oa tu cha msingi muishi kwa kumtanguliza Mungu 26 to 21 ni vizuri tu
 
Oa mkuu
 
Njoo kwangu Dada tujenge familia chini ya msingi wa upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…