barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Wanajibugi nina mtu, kama alikuona ni wa kawaida ila kama unaonekana mifukoni uko vizuri na una ndinga wanadaigi kwa sasa hawako kwa relationship, eti ex wake alimzingua!Hivi kuna binti huwa anajibu yuko single hata kama yuko single kweli!!
MmmmhMmmh...! OK nakuja kukujibu vizuri.
Nikikujibu muda huu unaweza usiamini kama Nasema kweli au nadanganya!
Kweli husema hivyo lkn je unadhani wote wanakuwa wakweli kwa kusema hivyo?Mbona wengine wanadai wote husema wamewahiwa!!!!
Noted with THANKSMessage delivered. Received.
I did!!No sakayo you to forgive and forget him
Sasa nawe usiridhike kwa jibu mojaKweli husema hivyo lkn je unadhani wote wanakuwa wakweli kwa kusema hivyo?
That's so nice na huo ndio uungwanaI did!!
AsanteThat's so nice na huo ndio uungwana
mmmh... nini tena?Mmmmh
Hahahaaaaa!! Chezea fursa!Wanajibugi nina mtu, kama alikuona ni wa kawaida ila kama unaonekana mifukoni uko vizuri na una ndinga wanadaigi kwa sasa hawako kwa relationship, eti ex wake alimzingua!
Hilo jibu veepe....mmmh... nini tena?
Yeeeeees!! Hapo tu nilitaka ukiri kuwa ni ngumu kujua kama jibu lile ni kweli au laa so there are not criteria which will guide us to know if someone is single or notSasa nawe usiridhike kwa jibu moja
Haha
Tena alikuwa akinioona anigombeza huyo
Hiyo itakuwa "VITA YA KIUCHUMI"Kwa mimi sina changamoto yoyote kwa sab kwangu mimi naona muda wangu haujafika ila ukifika najua ntakuwa nimeingia kwenye vita kubwa zaidi ya vita ya dunia
Sijui hata... Mpaka nikawa namuogopaaKisa cha kukugombeza na upole huo?
Let it BE 2 ME.Ukikutana na the right one, kwanza utajiuliza ulikuwa wapi siku zote.
Mh hiyo ilinishindaHahahahaha sasa kuna watu wanadai harufu yake huwavutia sana na wanazipenda kuliko maelezo.
Asante nawe kwa kusamehe kwa dhati stay blessedAsante
You have to be extra careful.... Kuna hapana ni ndio, ujue kuzitumia hizoYeeeeees!! Hapo tu nilitaka ukiri kuwa ni ngumu kujua kama jibu lile ni kweli au laa so there are not criteria which will guide us to know if someone is single or not
Mh hiyo ilinishinda