barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Wanajibugi nina mtu, kama alikuona ni wa kawaida ila kama unaonekana mifukoni uko vizuri na una ndinga wanadaigi kwa sasa hawako kwa relationship, eti ex wake alimzingua!Hivi kuna binti huwa anajibu yuko single hata kama yuko single kweli!!