MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Ok sorry sikuelewa hivyo, sasa nimekuelewa.

Sasa hayo yametoka wapi... Alokuwa an anigombeza ni mwenye uzi bwana... Nilikuwa namuogopaa yaani acha kabisa
 
Kumbe bado uko single! Ngoja tulete maombi, ukizingatia sifa zote tunazo
 
Bora umemwambia. Hakukuona hadi mkwe wangu T akakubeba, sasa hivi awe tu mpenzi mtazamaji.
Hivi unajua unaweza kumuona mwanamke yuko single ila kumtoa kwenye circle fulani inakuwa zoezi? Ndio case ya Sakayo πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…