Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
AmenAsante nawe kwa kusamehe kwa dhati stay blessed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenAsante nawe kwa kusamehe kwa dhati stay blessed
Sijui hata... Mpaka nikawa namuogopaa
AiseeSiku zote kumbuka mapenzi ni uchafu, kinyaa MARUFUKU lol!
Oooh! Asante kwa kunitoa tongotongo piaYou have to be extra careful.... Kuna hapana ni ndio, ujue kuzitumia hizo
Sasa hayo yametoka wapi... Alokuwa an anigombeza ni mwenye uzi bwana... Nilikuwa namuogopaa yaani acha kabisaNa kwenye penzi kukiwa na kuogopana mara nyingi linakuwa halina maisha marefu.
And this is the truthWanajibugi nina mtu, kama alikuona ni wa kawaida ila kama unaonekana mifukoni uko vizuri na una ndinga wanadaigi kwa sasa hawako kwa relationship, eti ex wake alimzingua!
Naona uko kwenye kitengo chakoHabari ndiyo hiyo Sakayo.
Sasa hayo yametoka wapi... Alokuwa an anigombeza ni mwenye uzi bwana... Nilikuwa namuogopaa yaani acha kabisa
Naona uko kwenye kitengo chako
Kumbe bado uko single! Ngoja tulete maombi, ukizingatia sifa zote tunazoMimi cha kwanza sitaki kuolewa na mwanaume mwenye mtoto we mungu nisaidie,
--sitaki kuolewa na mwanaume chini ya miaka 27
--sitaki kuolewa na mwanaume ambaye hajasoma ee mungu nisaidie.....
Lkn bado sijaona sababu ya mimi kuolewa coz kwangu siyo lazimaa
Usijali mwayaOk sorry sikuelewa hivyo, sasa nimekuelewa.
Upo huku mamaSasa hayo yametoka wapi... Alokuwa an anigombeza ni mwenye uzi bwana... Nilikuwa namuogopaa yaani acha kabisa
HahahaSi inaandikwa humu Sakayo kwamba mapenzi ni uchafu? Nimesoma humu humu kwenye shule ya JF.
Ndio babaaUpo huku mama
Hahaha
Unajua kuruka vihunzi eeeh
Nina usingizi kweli muda huu, kesho nitakupa jibu utakalo lipenda kwa ufasaha zaidi.Hilo jibu veepe....