Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Ha ha ha ha kumba na yeye ana kiboko yake enhee? Bora lakin mnamjulia ndugu yenuYule mwenye mdomo hawawezani [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha kumba na yeye ana kiboko yake enhee? Bora lakin mnamjulia ndugu yenuYule mwenye mdomo hawawezani [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ahaha Mimi siasa za bongo zenyewe jau.Hahahaaaa!! Ndio uanze kuzifuatilia vizuri ili muwe na cha kuongea.
Ila haya mambo bwana, unakuta mtu anapenda kitu gulani akikiongelea you have nothing to share lol!! Kuna kipindi niliwahi kuwa mfuatiliaji wa mpira duuuh!!
Wewe kumbuka af bakia nacho mwenyewe mie hata usinisingizie kama bado uko jiran acha nihame mtaaKwani unadhani nilihama wilaya, nilihma nyumba tu ila bado niko jirani sana, sema haujui tu.
Alafu nimekumbuka kitu ngoja kwanza!! [emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kabisa
Awowe tuu sasaaa, amekuwa wa tofauti mnoo mpaka Sakayo kamzoea???!!!!
Hahahaaaa!! Hivi mbona huwa mnapenda kunisingizia!! Mtoto wa watu niko single mimi[emoji57]Hee siku hzi yuko kwa Kaizer c niliskia yuko kwa yule jamaa mwengne kwel hii Kamata Fursa twenzetu dada yako simuwez
Njoo uchukue kakaDada wa hiar c huwa unanizima Majarida yale ya Femina uu umesahau jaman tena nasikia la mwez wa kumi limetoka hv ushanunua nipite Jion
Ha ha ha ha ha wewe haujawah kuolewa na haujawah kuwa single ndio uzur wakoHahahaaaa!! Hivi mbona huwa mnapenda kunisingizia!! Mtoto wa watu niko single mimi[emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nami nilikuwaga nachagua sana, kila mdada namtoa kasoro. Siku moja rafiki yangu akaniambia kwamba kama unataka mwanamke asiye na kasoro basi oa dada yako, khaaa!!
Since then, I came to realized that there things you need to compromise, vinginevyo hutaoa
Hivi mo wangu alikufanyaga nini lakini?Yule mwenye mdomo hawawezani [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naomba hela.Bwana we acha tu nina alergy na kuombwa hela kwel yaan niko radhi naiche kodi nihame mtaa
UsijaliBwana we acha tu nina alergy na kuombwa hela kwel yaan niko radhi naiche kodi nihame mtaa
Na kweli, siku hizi anasali kweeliHa ha ha yuko Miliman kwnye Maombi
Kumbe ndio maan!! Sasa nimeelewa. [emoji125] [emoji125]Ahaha Mimi siasa za bongo zenyewe jau.
Mpira pia ulishanishinda.
HahahahaNipo single sasa hivi[emoji57] [emoji85] [emoji85] [emoji85]