MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Hahahaaaa!! Ndio uanze kuzifuatilia vizuri ili muwe na cha kuongea.

Ila haya mambo bwana, unakuta mtu anapenda kitu gulani akikiongelea you have nothing to share lol!! Kuna kipindi niliwahi kuwa mfuatiliaji wa mpira duuuh!!
Ahaha Mimi siasa za bongo zenyewe jau.

Mpira pia ulishanishinda.
 
Kwani unadhani nilihama wilaya, nilihma nyumba tu ila bado niko jirani sana, sema haujui tu.

Alafu nimekumbuka kitu ngoja kwanza!! [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Wewe kumbuka af bakia nacho mwenyewe mie hata usinisingizie kama bado uko jiran acha nihame mtaa
 
Kabisa
Awowe tuu sasaaa, amekuwa wa tofauti mnoo mpaka Sakayo kamzoea???!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio bure, kuna namna. Atueleze tu ni binti gani katenda huu muujiza humu ndani. Nasoma comments kwa umakini hata niunganishe dots zimegoma[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Hee siku hzi yuko kwa Kaizer c niliskia yuko kwa yule jamaa mwengne kwel hii Kamata Fursa twenzetu dada yako simuwez
Hahahaaaa!! Hivi mbona huwa mnapenda kunisingizia!! Mtoto wa watu niko single mimi[emoji57]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila unaangalia zile kasoro unazoweza kuishi nazo. Si unajua kubwa kwa kwako kwa mwenzio linakuwa na uafadhali!!!
 
Bwana we acha tu nina alergy na kuombwa hela kwel yaan niko radhi naiche kodi nihame mtaa
Usijali
Mie mara ya mwisho kuomba hela nilikuwa na miaka mitano, Nakumbuka niliomba sh tano.... Nilichapwa viboko visivyo na idadi na Mamangu.... Kuanzia hapo Sijawahi omba teeeenaa mtu hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…