HahKuna namna sio bure aisee nikja kumkuta barabarn anahubir bas mie mbinguni ntakuwa nshafika asiee
Mie niliomba pesa ya kwenda kuangalia mazingaombwe mama akaniambia hana hela, kesho wakati naondoka kwenda shule nikaona pesa mezani. Nikachukua shilingi 10 kama zangu vile.Usijali
Mie mara ya mwisho kuomba hela nilikuwa na miaka mitano, Nakumbuka niliomba sh tano.... Nilichapwa viboko visivyo na idadi na Mamangu.... Kuanzia hapo Sijawahi omba teeeenaa mtu hela
Hapana kwakweli, too old for it.Lile Jukwaa la Mapish bado lipo mbona uje tu na recipe zako
Nmeuliza tu Jaman ili linapokuja swala la upangaji mahari dau lisiwe dogoKaka wa hiari jamani
Hapana, bado hajaniachia
Hawezi maana sie waarabu wa pemba...Ha ha ha ha ha atahama kama mim tu
Bas ukiwa free utantafuta.Hapana, bado hajaniachia
Starehe yako.Umeelewa nini sasa?
MashalahD hajui njia aunt
La mapishi auntie.Lipi hilo aunt...
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Starehe yako.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Haha yani unanikataa kijanja ila still unanisingizia mimi eti nilikupa kibuti, ningeanzaje mimi na uhenga wote huu bado nagendaheka tu? Afu sielewi vya kuniita "mtoto" ujue, au ndo kuninyima kwenyewe?
Mbona hufanan na hyo sentens sio wewe ndio huyo mama kwel na Heaven Sent ndio mtoto naona kama yako kinyume nyume vileMie niliomba pesa ya kwenda kuangalia mazingaombwe mama akaniambia hana hela, kesho wakati naonfoka kwenda shule nikaona pesa mezani. Nikachukua shilingi 10 kama zangu vile.
Kurudi huo msala wake nilinyooka! Mama akasema pesa zote ni zake kwahiyo ole wangu!! Yaani nilikuwa hata nikiokota pesa nampelekea mama namwambia hii pesa yako niliokota.
Sitaki.Ha ha ha usikimbie njoo
HahahahaMie niliomba pesa ya kwenda kuangalia mazingaombwe mama akaniambia hana hela, kesho wakati naonfoka kwenda shule nikaona pesa mezani. Nikachukua shilingi 10 kama zangu vile.
Kurudi huo msala wake nilinyooka! Mama akasema pesa zote ni zake kwahiyo ole wangu!! Yaani nilikuwa hata nikiokota pesa nampelekea mama namwambia hii pesa yako niliokota.
Hizi zimegoma auntie.Haha
Zikijiunga nitonye!!!! Seriously amebadilika
Na hivyo sina mpango wa kufa ndio basi tena!!Ha ha ha unafikir kila mtu ana roho mbaya kama wewe, Wewe ukija kunitendea wema ntajua siku zako za kufa zmekarbia so unapatana na wa dunian kwanza before hujaenda kudeal na sir God