HayaMnooo
Mie hata nikipewa nilikuwa nakataa sababu ya Kile kipigo!!!! Sitasahau yaaniHahahaaaa! Walikuwa noma, mie hata mgeni alikuwa akinipa nampa mama na siiombi.
Sawa kakaHa ha ha mwambie aje mapema sana hapa
Yap yap[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila unaangalia zile kasoro unazoweza kuishi nazo. Si unajua kubwa kwa kwako kwa mwenzio linakuwa na uafadhali!!!
Lakini mkuu,kuna mapungufu mengine ni mzigo kias kwamba unashindwa uanzie wapi kuyarekebisha,mfano mi sipendi kuwa na Mwanamke ambaye ni mvivu wa kuhangaikia maisha,mwenye uchoyo,asiyependa ndugu/Wazaz wangu,mwenye matumiz mabaya ya fedha,asiye na malengo,mbish,asiyeniheshim,asiyetoa Siri za familia nje,asiyependa vitu vya gharama ilhali uwezo huo sina,asiyependa kula bata kupitiliza,asiwe mlevi n.kLets face it !!
Hakuna mtu perfect !!
Hata wazazi wako kasoro kibao !!
Dadazako si mnapishana kauli kila kukicha !!
Ma bro na ma dogo kununiana kupo!!
So just go out there pick one na upambane na hali yako !!
Wapo wazuuuri ila wanga !!
Wasomi ila ukweli hupate ile raha na heshima ya mke !! Aka hawanyenyekei !!
Welcome to the club.
Mambo mengine ni siri ya kiumeni hupati mpaka uoe !!!!
will work on it...im not perfect either!Nami nilikuwaga nachagua sana, kila mdada namtoa kasoro. Siku moja rafiki yangu akaniambia kwamba kama unataka mwanamke asiye na kasoro basi oa dada yako, khaaa!!
Since then, I came to realized that there things you need to compromise, vinginevyo hutaoa
Muujiza gani huo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio bure, kuna namna. Atueleze tu ni binti gani katenda huu muujiza humu ndani. Nasoma comments kwa umakini hata niunganishe dots zimegoma[emoji134] [emoji134] [emoji134]
yes your not!will work on it...im not perfect either!
Mpe mwenzio sasa mbinu na yy apate kifaa kama wifi yangu...
Mmh sikupatii picha na hiyo assessment. ....Nami nilikuwaga nachagua sana, kila mdada namtoa kasoro. Siku moja rafiki yangu akaniambia kwamba kama unataka mwanamke asiye na kasoro basi oa dada yako, khaaa!!
Since then, I came to realized that there things you need to compromise, vinginevyo hutaoa
Jamani mume wangu hajarudi tu!! Hebu fanya fanya uondoke its about time. Nami nijimwae mwae na pampula wangu.
We unataka kupunguza uzito mkaribie hilo tatizo dogo kwakemimi na huyu ndugu hatuendani kabisa jamani.mimi sio type yake wala yeye sio type yangu. pia mimi sitaki mwanaume tena .nishastaafu
Hebu Niambie nani amefanikiwa kukubadilisha mwayaUnaniita?
Naona ulinogewa na "asiye... " hadi umeiweka kusiko stahili. Na wewe ni usiye... nini?Lakini mkuu,kuna mapungufu mengine ni mzigo kias kwamba unashindwa uanzie wapi kuyarekebisha,mfano mi sipendi kuwa na Mwanamke ambaye ni mvivu wa kuhangaikia maisha,mwenye uchoyo,asiyependa ndugu/Wazaz wangu,mwenye matumiz mabaya ya fedha,asiye na malengo,mbish,asiyeniheshim,asiyetoa Siri za familia nje,asiyependa vitu vya gharama ilhali uwezo huo sina,asiyependa kula bata kupitiliza,asiwe mlevi n.k
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app