MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

mchagua nazi,,, malizia mwenyewe

misemo mingine ya wahenga ina maana sana.
 
Lets face it !!
Hakuna mtu perfect !!
Hata wazazi wako kasoro kibao !!
Dadazako si mnapishana kauli kila kukicha !!
Ma bro na ma dogo kununiana kupo!!

So just go out there pick one na upambane na hali yako !!

Wapo wazuuuri ila wanga !!
Wasomi ila ukweli hupate ile raha na heshima ya mke !! Aka hawanyenyekei !!

Welcome to the club.
Mambo mengine ni siri ya kiumeni hupati mpaka uoe !!!!
Lakini mkuu,kuna mapungufu mengine ni mzigo kias kwamba unashindwa uanzie wapi kuyarekebisha,mfano mi sipendi kuwa na Mwanamke ambaye ni mvivu wa kuhangaikia maisha,mwenye uchoyo,asiyependa ndugu/Wazaz wangu,mwenye matumiz mabaya ya fedha,asiye na malengo,mbish,asiyeniheshim,asiyetoa Siri za familia nje,asiyependa vitu vya gharama ilhali uwezo huo sina,asiyependa kula bata kupitiliza,asiwe mlevi n.k

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Nami nilikuwaga nachagua sana, kila mdada namtoa kasoro. Siku moja rafiki yangu akaniambia kwamba kama unataka mwanamke asiye na kasoro basi oa dada yako, khaaa!!

Since then, I came to realized that there things you need to compromise, vinginevyo hutaoa
will work on it...im not perfect either!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio bure, kuna namna. Atueleze tu ni binti gani katenda huu muujiza humu ndani. Nasoma comments kwa umakini hata niunganishe dots zimegoma[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Muujiza gani huo?
 
Nami nilikuwaga nachagua sana, kila mdada namtoa kasoro. Siku moja rafiki yangu akaniambia kwamba kama unataka mwanamke asiye na kasoro basi oa dada yako, khaaa!!

Since then, I came to realized that there things you need to compromise, vinginevyo hutaoa
Mmh sikupatii picha na hiyo assessment. ....
 
Jamani mume wangu hajarudi tu!! Hebu fanya fanya uondoke its about time. Nami nijimwae mwae na pampula wangu.

teh teh ! toka njipate dawa shoga hajanywea nyumban !nashindwa elewa !na hayumo humu ! nasema ina maana ibilisi amenizid nguv hivi hiv ? aiseee! amebanwa sana siku 3 hizi !hanuki ht pombe bas halali anageuka tu !lol
 
Lakini mkuu,kuna mapungufu mengine ni mzigo kias kwamba unashindwa uanzie wapi kuyarekebisha,mfano mi sipendi kuwa na Mwanamke ambaye ni mvivu wa kuhangaikia maisha,mwenye uchoyo,asiyependa ndugu/Wazaz wangu,mwenye matumiz mabaya ya fedha,asiye na malengo,mbish,asiyeniheshim,asiyetoa Siri za familia nje,asiyependa vitu vya gharama ilhali uwezo huo sina,asiyependa kula bata kupitiliza,asiwe mlevi n.k

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Naona ulinogewa na "asiye... " hadi umeiweka kusiko stahili. Na wewe ni usiye... nini?
 
Back
Top Bottom