MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

ila rrondo oa sasa .acha kutega wanawake.yaani ulivo wadada ndahani wakikutana na wewe siku ya kwanza kwenye intro huwa wanadata .tatizo unakaguuua hadi maini
Aisee uliwahi kaguliwa nae mbona unamnanga sana?

Hafu nasikia wewe ndo chaguo la wengi.
 
teh teh ! toka njipate dawa shoga hajanywea nyumban !nashindwa elewa !na hayumo humu ! nasema ina maana ibilisi amenizid nguv hivi hiv ? aiseee! amebanwa sana siku 3 hizi !hanuki ht pombe bas halali anageuka tu !lol
MBITIYAZA hujambo best
 
kila kitu kina faida yake na hasara pia. kuoa mdogo unaweza kupata kizazi mapema ukakikuza vzr katika mila,silka, dini na tamaduni hivyo basi unanjijengea kiinua mgongo ungali mapema huenda kizazi chako kikakupa msaada uzeeni kwako na ndio matumaini ya wazazi Wengi. Vile vile ndoa ya mapema inaweza kukunyima fursa za kujipanga vyema kiuchumi, kujirusha na totoz, debe na mmb ya uvulana. nawasahauri tuoe mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…