mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Umeona eeeh, ahaaaa haya bwanaHahahaha unaona sasa raha ya kutafuta ushirikiano na wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeeh, ahaaaa haya bwanaHahahaha unaona sasa raha ya kutafuta ushirikiano na wewe
Mmh haya kila la kheriWapo labda wewe haujapata bahati ya kuwaona,we endelea kuamin hivyo,ila shida tu kuwapata maana hawana alama
Ni ndugu bhana...Madame..Ni kwamba ombi lake limekubaliwa ama?
Usinicheke haya maisha yanazunguka ujue wee haya tuHaha [emoji23]
Nimejikuta nacheka tuu
Kumbe kifinga ni mwanaume Sasa picha YA mwanamke YA nn we jamaa unamatatizo bila shakawe jamaa unawaza kama mimi wenzetu waislam wanafaidi sana mtu akizingua unapiga chini huku kwa wakristo watu hawakuelewi
Hivi lile debe alopigiwa kalipokeaje?aisee...upele umepata mkunaji!
Pole mwayaUsinicheke haya maisha yanazunguka ujue wee haya tu
Aisee uliwahi kaguliwa nae mbona unamnanga sana?ila rrondo oa sasa .acha kutega wanawake.yaani ulivo wadada ndahani wakikutana na wewe siku ya kwanza kwenye intro huwa wanadata .tatizo unakaguuua hadi maini
Huyo ndo my ex.Wewe unaomba Pesa na bint yako na yeye aombe nn unataka?
Kaka mdogo umekuja?Sijasema Mimi lkn
Naona unagongelea musumali hapohapo atapoa atakae umizwa mii bado.Pole mwaya
Wa umri ni utakao,wengi wanafamilia zao tayari!
Kila la heri wapendwaInabidi tuongee kiutu uzima.
SawaNaona unagongelea musumali hapohapo atapoa atakae umizwa mii bado.
MBITIYAZA hujambo bestteh teh ! toka njipate dawa shoga hajanywea nyumban !nashindwa elewa !na hayumo humu ! nasema ina maana ibilisi amenizid nguv hivi hiv ? aiseee! amebanwa sana siku 3 hizi !hanuki ht pombe bas halali anageuka tu !lol
Nililijua mapema hili kama ni samaki kesha nasa ngoja tuone kama ana minofu ya kutafuna au hana arudishwe mtoni?Inabidi tuongee kiutu uzima.