MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

ogopa sana 27-30 ambaye hana mtoto, wanatoa mimba hawa dada zetu siku hizi mpaka unajiuliza hivi wangekua wanazaa hii nchi si ingekua na 100mill population, jamani mimba zinatolewa wakuu, dada zetu wanatoa mimba mpaka 3 kwa mwaka achana nao kabisa hawa viumbe.
 
Free forum mkuu...
Changamoto kubwa nnazokumbana nazo,
1. Pesa sina, (japokuwa wafanyakazi wenzangu wananiona nnazo)

2. Kuna washkaji wawili wananipigia kelele kila siku nioe mmoja ni supervisor, yaani huwa nawamaind mpaka nawajibu, "MI MDOGO"

3..... Au basi..... Najijenga kiuchumi kwanza kisha ntaoa
 
Mkuu utakua doctor wewe
 
dah ushauli wako ni mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…