Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Hahahah! Tafadhali nipe heshima yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah! Tafadhali nipe heshima yangu.
Mi nna Thate mpaka Disemba ntakuwa thate wani naruhusiwa kuchangia?Hii ni kweli kabisa!
Huu uzi umekimbiza kweli.......ngoja nirudi nyuma nione kama kuna nilipoacha alama ya kusababisha dotsJamaa dots zao zinawaingiza chaka...
Watu wapo makini kucheza na mazingila ha ha haaa jipange tukasherehekeeUmeona eeee!!! Tuandae tu michango mkuu
Changamoto kubwa nnazokumbana nazo,Free forum mkuu...
Ha ha haaaaa mkuu hujaacha tu.ID yako ya zamani ni nani vile?!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120]Hahahah! Tafadhali nipe heshima yangu.
Mkuu kwahiyo hujamuelewa alivyosema anaotamani wamuoe wanafamily tayar?Jamaa dots zao zinawaingiza chaka...
Nilisahau ngoja nikujibu,pengine naweza angukiwa na ngekewa 😉😉😉Hivi kwanini hujibu PMs zangu?
EheeeHivi kwanini hujibu PMs zangu?
Mkuu utakua doctor weweogopa sana 27-30 ambaye hana mtoto, wanatoa mimba hawa dada zetu siku hizi mpaka unajiuliza hivi wangekua wanazaa hii nchi si ingekua na 100mill population, jamani mimba zinatolewa wakuu, dada zetu wanatoa mimba mpaka 3 kwa mwaka achana nao kabisa hawa viumbe.
dah ushauli wako ni mzurimbona wapo wengi mkuu wa 27-34 ambao hawajaolewa na hawana watoto kama uchaguzi wako ulivyo.
kuchagua sana sio tatizo, tatizo ni kuchagua bila kuwa na standards, weka viwango vyako vilivyohalisi chagua mwenye afadhali.
Maisha hwyasubiri, wengi huoa nusu wakqmilifu kama wao walivyo nusu wakamilifu. hizo nusu mbili ndio zinafanya ndoa kamilifu mkuu.
ila hata hao uliowwtaja kama wadogo sana ukikuta kaivishwa vizuri na wazazi ni bora sana tena saana
Kikwetu hili ni tusi furaha yangu na umbea wapi na wapi?Bila shaka utakuwa mwenyeji wa Mbeya,kwahiyo wewe ni mmbea