Ashakum si matusi,tafadhali niwie radhi!Kikwetu hili ni tusi faraha yangu na umbea wapi na wapi?
Ngoja niishie hapa kama ndo hivyo.
Sasa hapa circle ipi unaongelea mkwe(hope mmefikia pazuri na hs nianze kukuita mkwe)
Cc Heaven Sent Nalendwa
Mkuu, una ushahidi gani kuwa wadada wa age hiyo wanafanya sana abortion?ogopa sana 27-30 ambaye hana mtoto, wanatoa mimba hawa dada zetu siku hizi mpaka unajiuliza hivi wangekua wanazaa hii nchi si ingekua na 100mill population, jamani mimba zinatolewa wakuu, dada zetu wanatoa mimba mpaka 3 kwa mwaka achana nao kabisa hawa viumbe.
Nyumba itageuka jukwaa LA kimataifa stories zitatawala za Pyongyang tu aaha
Oa ukiwa tayari, sio kwa pressure za watu wengine. Mke utaenda kuishi nae wewe.Changamoto kubwa nnazokumbana nazo,
1. Pesa sina, (japokuwa wafanyakazi wenzangu wananiona nnazo)
2. Kuna washkaji wawili wananipigia kelele kila siku nioe mmoja ni supervisor, yaani huwa nawamaind mpaka nawajibu, "MI MDOGO"
3..... Au basi..... Najijenga kiuchumi kwanza kisha ntaoa
Sina ya zamani.ID yako ya zamani ni nani vile?!
Usijali. Nimejisikia tu kuwatakia heri ili muepukane na changamoto mnazopitiaHeri ya nini tena mpendwa?
Umefanya utafiti au ni hearsay tu mkuu? Unajua umri "sahihi" kwa mwanamke kutafuta watoto ni kuanzia umri gani hadi umri gani?Mwanamke unayemtaka 0ver 24-26 angalia mkiwa na lengo la kupata watoto atapata shida za uzazi.
Umenichekesha Kweli mkuu. Ila inasikitisha.ogopa sana 27-30 ambaye hana mtoto, wanatoa mimba hawa dada zetu siku hizi mpaka unajiuliza hivi wangekua wanazaa hii nchi si ingekua na 100mill population, jamani mimba zinatolewa wakuu, dada zetu wanatoa mimba mpaka 3 kwa mwaka achana nao kabisa hawa viumbe.
Labda ni kwa sababu single mamaz mnawakwepa ndo mana wanaamua kuzichomoa ili waonekane 'wabichi'ogopa sana 27-30 ambaye hana mtoto, wanatoa mimba hawa dada zetu siku hizi mpaka unajiuliza hivi wangekua wanazaa hii nchi si ingekua na 100mill population, jamani mimba zinatolewa wakuu, dada zetu wanatoa mimba mpaka 3 kwa mwaka achana nao kabisa hawa viumbe.
Mkuu, huna pesa wakati kwenye avatar naziona za kutosha!Changamoto kubwa nnazokumbana nazo,
1. Pesa sina, (japokuwa wafanyakazi wenzangu wananiona nnazo)
2. Kuna washkaji wawili wananipigia kelele kila siku nioe mmoja ni supervisor, yaani huwa nawamaind mpaka nawajibu, "MI MDOGO"
3..... Au basi..... Najijenga kiuchumi kwanza kisha ntaoa
Anatuzuga. Wote hawataki wenye familia. Character ni kama zinafanana. Au hadi awekewe na picha ndo ataelewa?Mkuu kwahiyo hujamuelewa alivyosema anaotamani wamuoe wanafamily tayar?