MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Wanawake waambieni hao wanaoshabikia kuoa single mamas.
Wanaume muhimu ambao sio rahisi mwanamke kumsahau ni
1. Mwanaume aliyemuondolea mwanamke ubikira wake !
2. Mwanaume aliyezaa nae !!

Ndio maana watu wanapooana wanashauriwa waondoke maeneo waliolia uhuni.
 
ogopa sana 27-30 ambaye hana mtoto, wanatoa mimba hawa dada zetu siku hizi mpaka unajiuliza hivi wangekua wanazaa hii nchi si ingekua na 100mill population, jamani mimba zinatolewa wakuu, dada zetu wanatoa mimba mpaka 3 kwa mwaka achana nao kabisa hawa viumbe.
Mkuu, una ushahidi gani kuwa wadada wa age hiyo wanafanya sana abortion?
 
Changamoto kubwa nnazokumbana nazo,
1. Pesa sina, (japokuwa wafanyakazi wenzangu wananiona nnazo)

2. Kuna washkaji wawili wananipigia kelele kila siku nioe mmoja ni supervisor, yaani huwa nawamaind mpaka nawajibu, "MI MDOGO"

3..... Au basi..... Najijenga kiuchumi kwanza kisha ntaoa
Oa ukiwa tayari, sio kwa pressure za watu wengine. Mke utaenda kuishi nae wewe.
 
Mwanamke unayemtaka 0ver 24-26 angalia mkiwa na lengo la kupata watoto atapata shida za uzazi.
 
Umefanya utafiti au ni hearsay tu mkuu? Unajua umri "sahihi" kwa mwanamke kutafuta watoto ni kuanzia umri gani hadi umri gani?
 
ogopa sana 27-30 ambaye hana mtoto, wanatoa mimba hawa dada zetu siku hizi mpaka unajiuliza hivi wangekua wanazaa hii nchi si ingekua na 100mill population, jamani mimba zinatolewa wakuu, dada zetu wanatoa mimba mpaka 3 kwa mwaka achana nao kabisa hawa viumbe.
Umenichekesha Kweli mkuu. Ila inasikitisha.
 
ogopa sana 27-30 ambaye hana mtoto, wanatoa mimba hawa dada zetu siku hizi mpaka unajiuliza hivi wangekua wanazaa hii nchi si ingekua na 100mill population, jamani mimba zinatolewa wakuu, dada zetu wanatoa mimba mpaka 3 kwa mwaka achana nao kabisa hawa viumbe.
Labda ni kwa sababu single mamaz mnawakwepa ndo mana wanaamua kuzichomoa ili waonekane 'wabichi'
 
Changamoto kubwa nnazokumbana nazo,
1. Pesa sina, (japokuwa wafanyakazi wenzangu wananiona nnazo)

2. Kuna washkaji wawili wananipigia kelele kila siku nioe mmoja ni supervisor, yaani huwa nawamaind mpaka nawajibu, "MI MDOGO"

3..... Au basi..... Najijenga kiuchumi kwanza kisha ntaoa
Mkuu, huna pesa wakati kwenye avatar naziona za kutosha!
 
Mkuu kwahiyo hujamuelewa alivyosema anaotamani wamuoe wanafamily tayar?
Anatuzuga. Wote hawataki wenye familia. Character ni kama zinafanana. Au hadi awekewe na picha ndo ataelewa?
 
Tatizo la masuala ya mahusiano kwa dunia hii kama unafedha ni ngumu sana kupata mwenye upendo wa dhati kwako, kama ilivyo ngumu kwa asiye na fedha kupata, japokuwa sometimes wasio na fedha hupata vifaa vya ukweli hadi wenye fedha kubaki midomo wazi wasiamini inawezekanaje
 
Back
Top Bottom