Perhaps, afu utakuta anachapwa na mjinga mjinga tuuTeh!, wanataka kuzidiana kiasi kipato kiwe kikubwa.
Nimefanyaje tena sweetheart!!Unajua wewe ndo unanichelewesha kuoa?
Kama kuna ukweli hivi!Kuchelewa ni tafsiri ya mtu binafsi
Hahahaaaa!! Nilikuwa namtega tu!Wewe hujamuelewa huyu amelenga mmiliki wa uzi.
Usije sema sijakufumbua
Sasa wewe soft ndio size yake, Mungu ana makusudi, ungekuwa serious maybe mngeshashindwana kitambo. Ila hauoni mambo yanasonga tu!yeah anahitaj mwanamke serious sana !mie siuwez userious jaman !nipo softy sana !
Alikwepa hakujibu.Na mimi ningependa kujua..
Sometimes yesUhitaji unakuja automatic?
DaaaahUtamu wa ndoa ni kama utamu wa pipi, ni tamu sana pipi inapokuwa mpya ila inapungua utamu kila inavyopata muda wa jukaa mdomoni maana inapungua ukubwa wake, mwisho itaisha na mdomo utabaki na utamu wa mate yake.
Mtu akukwambia ndoa tamu mwanzo mwisho ni muongo mkubwa.
PoleNimeshajua jinsi ilivyo ngumu kupata mke....tena umri ukipita kidogo!
Simuombei hivyo khaa mbona wapo wengi mfano wakeKwahiyo unasubiri aachike?
Ha ha haaa ningeshangaa zaidiHahahaaaa!! Nilikuwa namtega tu!
Tatizo la masuala ya mahusiano kwa dunia hii kama unafedha ni ngumu sana kupata mwenye upendo wa dhati kwako, kama ilivyo ngumu kwa asiye na fedha kupata, japokuwa sometimes wasio na fedha hupata vifaa vya ukweli hadi wenye fedha kubaki midomo wazi wasiamini inawezekanaje
ukieleweka mtaelewana ttizo wabongo wake kwa waume wote wajuaji.[emoji23] watu wanapenda kukaa bila kuoa au kuolewa , hasa watumishi wa serikali. Yan kama females, unaeza ata kionyesha nia , ankuwa haeleweki eleweki, hasa uwe mtumishi mwenzake na same salary scale,,, mmmmh
Sasa wewe soft ndio size yake, Mungu ana makusudi, ungekuwa serious maybe mngeshashindwana kitambo. Ila hauoni mambo yanasonga tu!
Safi sana.hahhaha yanasonga aisee ! tena fresh tu ! nishamkubali na upampula wake