MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Utamu wa ndoa ni kama utamu wa pipi, ni tamu sana pipi inapokuwa mpya ila inapungua utamu kila inavyopata muda wa jukaa mdomoni maana inapungua ukubwa wake, mwisho itaisha na mdomo utabaki na utamu wa mate yake.
Mtu akukwambia ndoa tamu mwanzo mwisho ni muongo mkubwa.
Daaaah
 
Tatizo la masuala ya mahusiano kwa dunia hii kama unafedha ni ngumu sana kupata mwenye upendo wa dhati kwako, kama ilivyo ngumu kwa asiye na fedha kupata, japokuwa sometimes wasio na fedha hupata vifaa vya ukweli hadi wenye fedha kubaki midomo wazi wasiamini inawezekanaje


Kuna ukweli hapa.
 
Back
Top Bottom