Du! Kumbe ni kama muwa! Pole. Maana hilo jina limekaa vibaya!Aisee...tushakuwa makapi! Heri yako cream.
FursaWangapi hawajaolewa hapo ?
na mimi ninahitaji mmoja.
Waweza kuta m-bibiSlow down young lady.
Sisi wawekezaji fursa kama hizi huwa hatuziachi mkuu.Fursa....
Kwa hiyo wanamke hadi mpate bahati, kweli kazi mnayo.wote ila wanaume zaidi vile mwanamke huwa anasubiri kutongozwa sa bahati inaweza mpita
Sisi wawekezaji fursa kama hizi huwa hatuziachi zipite anganiFursa
NaonaSisi wawekezaji fursa kama hizi huwa hatuziachi zipite angani
my dear love b
Kabisa yaaniHata m-bibi anajisikia faraja kuitwa young lady...
Hiyo aiseee vipi rafikiAiseee....
Tulikuwa twawaza tuu kwa sauti jamani, au kuna Ubaya... Usije nigombeza tuu mie
Asante. Sikulijua hikiHata m-bibi anajisikia faraja kuitwa young lady...
Kwa nini mkuu ?This is scary!