MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Ila tumehama mada. Hivi si Ulitaka kujua changamoto za kuchelewa kuoa?

Kwangu mie nionavyo (mie paw aliniwahi kabla sijajua kuvuka barabara na kuvuta bhange. Bhange kanifunza mwenyewe ). Umri unavyoenda ndio unavyozidi kufanikiwa. Kwa mahaba ya siku hizi mtu akikuambia ai lavu yuu huwezi kujua anaongea na kazi yako, mavazi, uturi, kidevu, saa ama gari yako. Kwa maana hiyo unaweza ukapishana na upendo wa kweli ukaangukia pua.
 
Kutoona haina maana kitu hakipo!
%kubwa ni walezi wazuri wa familia, wana muda wa kutosha(kazi haiwabani sana) hivyo hata kama kuna vimradi vya kusimamia wanamudu vizuri,hawana semina na safari za kikazi hivyo wana muda na familia, kwakuwa wanakuwa na watoto sana ni wavumilivu, sio wajuaji(nafikiri hii inachangiwa na mazingira ya kazi pia), nk nk nk.

Ila kwa siku hizi mambo tafrani[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Utamu wa ndoa ni kama utamu wa pipi, ni tamu sana pipi inapokuwa mpya ila inapungua utamu kila inavyopata muda wa jukaa mdomoni maana inapungua ukubwa wake, mwisho itaisha na mdomo utabaki na utamu wa mate yake.
Mtu akukwambia ndoa tamu mwanzo mwisho ni muongo mkubwa.
Inategemea hiyo pipi unaimungunya je ndoa ni jinsi mnavyoishi mkiishi vizuri mtaifurahia mkiishi vibaya hutaifurahia ndoa ni takatifu hivo yapaswa kuiushi kitakatifu na kwa kuchukuluana kimapungufu umri sii kigezo mradi upendo wa kweli na upendo wa kweli chongo huita kengeza ilhali ni chongo

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
What doesn't kill you makes you stronger. Usiwaze sana juu ya kesho. Amini mtima wako, angalia furaha yako na ujilipue. Mtazamo wako leo, haukuwa hivi 10 yrs back na miaka 10 ijayo haitakuwa hivi. Umeshaambiwa hakuna anaetaka kuzeeka alone. Angalia quality ambazo miaka 30 ijayo hazitakusumbua.

Was it Maya Angelou aliesema marry someone who makes you laugh? Kwa sababu siku atakayoamua kuacha kukuchekesha you will have to take a hike. Hakunaga formulae za hizi mambo kaka.
Nimependa ushauri wako!
 
Back
Top Bottom