MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Kingine ni kuwa unakosa utulivu wa nafsi , unaishi kwa wasiwasi kwani unapoteza matumaini ya kupata mke aliye sahihi, pia unashindwa kustick kwenye ibada ipasavyo maana unaona kama unamchezea Mungu, kama mwislam unakosa nusu ya dini kwani kuoa ni kutimiza nusu ya dini kisha nusu nyingine unaitafuta kwenye mambo mengine ya ibada nk. ILA kimsingi hakuna anayechelewa katika maisha ama kuwahi. Ni kuwa wakati wako haujafika hivyo nikukazana na kufanya juhudi kuomba. Kimsingi katika mapenzi ya kweli huwa hamna masharti kama sijui kuwa na mtoto, huyu hajafika chuo, sijui nataka mwenye kazi, mapenzi hayapo hivyo. Mwanamke ana sifa maalum za kuwa nazo no matter whatever situation she has. ILA kikubwa akupende kwa dhati kutoka moyoni kwa hali yoyote ulokuwa nayo. Ajisubmit kwako na uwe mwenye utii kwako, usimlazimishe maana atakusumbua. Ukiona anaweza kukupa familia bora na akaitunza na akawa na malengo mazuri ya maisha sio wale wa matumizi we oa tu. Mi binafsi nimeoa mwenye mtoto na si kwamba wasio na watoto hawakuwepo. Love first...

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Maneno kuntu kabisa!
 
Ebuuuh! Unataka kuoa tumia njia hii,safiri naye safari ndefu zaidi ya Siku 2 mkiwa safarini ,chunguza uvumilivu, kujali,usafi na lugha kati take na wewe na abiria wengine. Mrejeshe home iwapo hajakupa karaha basis huyo mtadumu KTK ndoa vizuri. Km kiuchumi hauko vizuri chagua kati ya 3 unaoona wanafaa,julisha ndg wanaokujali utapata chaguo linalokufaa.Mwisho yote huwezi omba Mungu atakuonesha mtakayewezana Amina.
Mhh! Kuna moja hapo ni kama ilitumika kwangu. Nashukuru sikujua kama nipo kwenye mtihani
 
changamoto kubwa mi ninayokutanayo ni kuchagua sana....yaani ninaemuwaza namtafuta simpati
 
%kubwa ni walezi wazuri wa familia, wana muda wa kutosha(kazi haiwabani sana) hivyo hata kama kuna vimradi vya kusimamia wanamudu vizuri,hawana semina na safari za kikazi hivyo wana muda na familia, kwakuwa wanakuwa na watoto sana ni wavumilivu, sio wajuaji(nafikiri hii inachangiwa na mazingira ya kazi pia), nk nk nk.

Ila kwa siku hizi mambo tafrani[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Huu uchanganuzi nimeuelewa
 
Inatumika sana hats km wengine hawaambiwi! Ila ni nzuri maana MTU akipass hiyo yeyote atakayetaka kywavurugia ajiandae kweli.!!!
 
Back
Top Bottom