Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Naona umejidifend kwa kujiwekamotuko kundi moja wala usihofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umejidifend kwa kujiwekamotuko kundi moja wala usihofu
Kuna aliyeoa miss Tz japo mzee money talksmwanaume ni hela tu hakuna umri wa kuoa!
mimi mwenyewe ni 48+yrs na nina "wachumba"watatu wote ni below 22
umaskini ndio unawafanya wanaume wengi wawahi kuoa....kama hela ipo hata 50+ yrs unapata mke...mzee ni maskini tajiri hazeeki!
Nikifika 35 nitamtafuta aisee [emoji32][emoji32]
Nisamehe jamani...u make me feel terrible! btw nampenda Rihanna avatar yako inanivutia....mnafanana?
Maneno kuntu kabisa!Kingine ni kuwa unakosa utulivu wa nafsi , unaishi kwa wasiwasi kwani unapoteza matumaini ya kupata mke aliye sahihi, pia unashindwa kustick kwenye ibada ipasavyo maana unaona kama unamchezea Mungu, kama mwislam unakosa nusu ya dini kwani kuoa ni kutimiza nusu ya dini kisha nusu nyingine unaitafuta kwenye mambo mengine ya ibada nk. ILA kimsingi hakuna anayechelewa katika maisha ama kuwahi. Ni kuwa wakati wako haujafika hivyo nikukazana na kufanya juhudi kuomba. Kimsingi katika mapenzi ya kweli huwa hamna masharti kama sijui kuwa na mtoto, huyu hajafika chuo, sijui nataka mwenye kazi, mapenzi hayapo hivyo. Mwanamke ana sifa maalum za kuwa nazo no matter whatever situation she has. ILA kikubwa akupende kwa dhati kutoka moyoni kwa hali yoyote ulokuwa nayo. Ajisubmit kwako na uwe mwenye utii kwako, usimlazimishe maana atakusumbua. Ukiona anaweza kukupa familia bora na akaitunza na akawa na malengo mazuri ya maisha sio wale wa matumizi we oa tu. Mi binafsi nimeoa mwenye mtoto na si kwamba wasio na watoto hawakuwepo. Love first...
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Mhh! Kuna moja hapo ni kama ilitumika kwangu. Nashukuru sikujua kama nipo kwenye mtihaniEbuuuh! Unataka kuoa tumia njia hii,safiri naye safari ndefu zaidi ya Siku 2 mkiwa safarini ,chunguza uvumilivu, kujali,usafi na lugha kati take na wewe na abiria wengine. Mrejeshe home iwapo hajakupa karaha basis huyo mtadumu KTK ndoa vizuri. Km kiuchumi hauko vizuri chagua kati ya 3 unaoona wanafaa,julisha ndg wanaokujali utapata chaguo linalokufaa.Mwisho yote huwezi omba Mungu atakuonesha mtakayewezana Amina.
Huo mguno veepeMmmmhhhh.......
JamaaniUnagonga mle mle.....
Huu uchanganuzi nimeuelewa%kubwa ni walezi wazuri wa familia, wana muda wa kutosha(kazi haiwabani sana) hivyo hata kama kuna vimradi vya kusimamia wanamudu vizuri,hawana semina na safari za kikazi hivyo wana muda na familia, kwakuwa wanakuwa na watoto sana ni wavumilivu, sio wajuaji(nafikiri hii inachangiwa na mazingira ya kazi pia), nk nk nk.
Ila kwa siku hizi mambo tafrani[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahahah! vp ulifaulu lakini?Mhh! Kuna moja hapo ni kama ilitumika kwangu. Nashukuru sikujua kama nipo kwenye mtihani
TehHa ha ha hayawezi kwisha kienyeji....
Nilifaulu. Baada ya ndoa ndo akaniambiaHahahah! vp ulifaulu lakini?
Kwaio mwanamke mwenye 35 ni gari ya mkaa [emoji54][emoji54] uwe na akiba ya maneno kama nakuona ambavyo inatokea kwakoHamna mtu anataka kuoa gari ya mkaa