Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Hii inaonekana kama Lichen Planus
Hope ushapata msaada.
 
Haahah hapana mkuu, kumbe ni scabies, asanten sana
 
Huu ugonjwa ni scabies kama unataka kuamini zaidi jaribu kugoogle "nodular scabies" .

Dawa yake ni rahisi sana Scaboma cream na Benzyl benzoate lotion
mkuu unatumiaje maana zote ni za kupaka
 
Haahah hapana mkuu, kumbe ni scabies, asanten sana
Kama Ni scabies jihesabu umepona.
Dawa yake Ni machungwa. Kwa Sasa hivi Dar machungwa yanaanzia shilingi hamsini Hadi Mia.
Yaani hela ya bia moja unapata machungwa zaidi ya kumi.
Au Bei ya konyagi moja ya kawaida unajaza tenga.
Don't even touch the chemicals. Machungwa tu.
 
Machungwa mangapi kwa siku na kwa muda gani?
 
Mkuu kingereza kimekupiga chenga jaribu kutofautisha scabies na scurvy utakuja kuua watu humu
 
Mkuu kingereza kimekupiga chenga jaribu kutofautisha scabies na scurvy utakuja kuua watu humu
Machungwa hata ule Mia kwa siku huwezi kuumia.
Kumbuka hakuna daktari anayekataza watu kula matunda au mboga. Hata diabetics hawakatazwi.
 
Ebu tumia akili na busara zako apa watu Wana matatizo yanayohitaji dawa kweli. Unaweza kumwambia mgonjwa wa pressure aache dawa ale tu machungwa. Kua mtu mzima apo kwenye scruvy na scabies umechamba. Usiwachanganye watu apa Acha wafate tiba sahihi wapone
Machungwa hata ule Mia kwa siku huwezi kuumia.
Kumbuka hakuna daktari anayekataza watu kula matunda au mboga. Hata diabetics hawakatazwi.
 
Nliwahi kupata ili tatizo, Tumia BBE solution, unapaka usiku baada ya kuoga, After one week unapona
 
jaman baada ya kuteseka zaid ya miaka 2 kwa kupitia huu uzi nilijaribu kila dawa niliyoaambiwa hatimaye leo nimepata suluhisho la huu ugonjwa nimetumia scaboma na vidonge vya cyclovir mpaka leo ndo vinaishia vinaanza kupotea vipo hatua ya mwisho uume sasa hivi upo soft.nashukuru kwa wote ambao mlichangia kwenye huu uzi na wale ambao niliwa dm asante kwa ushirikiano[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…