Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Huyo Prof ni msahaulifu sana juzi tu katoka kutuambia wana utaratibu wa kutunza buffer stock ya miezi mitatu.
Sasa kama kuagiza sukari inachukua miezi mitatu hiyo buffer stock ilienda wapi hadi kukawa na upungufu.
Udhani sukari ni kitu ambacho unaweza kukurupuka asubuhi moja ukaagiza tani łąki kadhaa kwa siku, surely huko unapoagiza lazima waongeze production kwanza ili uletewe nani anauwezo wa hiyo capacity (kiwanda au kampuni specific), no mention zaidi ya hadithi tu.
Mara India wameacha ku-import sijui kuipata inabidi itoke Brazil, iende India ndio ije Tanzania. Ina maana wao wenyewe bodi ya sukari hawana ata list ya producers duniani wenye uwezo wa kuongeza production wakihitaji kununua. Wanategemea madalali wakidosi kuwafanyia kazi. Sasa hizo ndio security measures gani.
Halafu kuna wale ambao wakipewa nafasi kwenye mjadala wanaanza na kumpongeza rahisi na kutupa historia ya uzalishaji wa serikali (worst the same thing kuna mtu keshaongelea mambo hayo hayo kwenye introduction) so it becomes a repeat had to leave walipoanza kuongea watu sampuli hiyo.