Mjadala : TFF walitumia kigezo gani kuipa Simba nafasi ya kucheza na sevilla?

Alvajumaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
5,039
Reaction score
6,253
Wakuu
Huku ligi yetu pendwa ya TPL ikielekea ukingoni tunajua kwamba Simba ambaye ni bingwa msimu uliopita atacheza na timu ya sevilla kutoka nchini uhispania,
Nabaki kujiuliza TFF walitumia kigezo gani kuteua timu ya Simba icheze na sevilla?
Nakumbuka walitoa maelezo kwamba Simba alifanya vizuri michuano ya sportpesa ndio maana akapewa nafasi ya kucheza mechi hiyo

Binafsi hii sababu yao sikuona kwamba ina mashiko, ingawa tunajua kwamba Simba msimu huu wako on fire, timu yao ni nzuri ila taratibu zilizotumika kuteua timu zina walakini....

Kikawaida timu za ulaya mfano Real Madrid, Barcelona, Manchester United & City , Liverpool , Chelsea, Arsenal na nyinginezo hua zinakua na "tour" ya mechi za kirafiki,
Mfano wanaweza kwenda Bangkok huku Thailand ili kupata mashabiki na kuuza jezi lakini wakicheza mechi za kirafiki timu za ligi hua wanatoa timu moja ya msimu, yaan wale waliofanya vizuri huchaguliwa na kuunda timu moja ambayo hucheza mechi husika,
Hivyo ukijaribu kuangalia TPL msimu huu tunajua kuna wachezaji wengi wameng'ara na hawako Simba, rejea list ya wafungaji bora msimu huu au angalia takwimu za pasi za mwisho, au angalia nani amechukua mchezaji bora wa mwezi mara nyingi msimu huu

Huu ni uthibitisho kwamba wapo wachezaji wengine ambao walipaswa kupata hii fursa ya kuwakabili mabingwa mara 5 wa michuano ya Ueropa, ila kutokana na TFF kutozingatia weledi basi wakatoa zawadi kwa Simba,
Ieleweke siichukii Simba ila namna ilivyopewa nafsi ya kucheza na sevilla kuna walakini, ilibidi iteuliwe timu ya msimu na kocha bora then wacheze hiyo mechi

Hebu njoo tujadiliane, nini maoni yako juu ya jambo hili?
 
Sportpesa wenyewe ndo wameona njia inayostahili kuichagua timu ya kucheza na sevilla ndo iyo....wewe kama huridhiki na iyo njia tafuta timu kutoka nje waje hapa tanzania uwatafutie timu ya kucheza nayo kwa kutumia hivyo vigezo vyako
 
Wakuu
Huku ligi yetu pendwa ya TPL ikielekea ukingoni tunajua kwamba Simba ambaye ni bingwa msimu uliopita atacheza na timu ya sevilla kutoka nchini uhispania,
Nabaki kujiuliza TFF walitumia kigezo gani kuteua timu ya Simba icheze na sevilla?
Nakumbuka walitoa maelezo kwamba Simba alifanya vizuri michuano ya sportpesa ndio maana akapewa nafasi ya kucheza mechi hiyo

Binafsi hii sababu yao sikuona kwamba ina mashiko, ingawa tunajua kwamba Simba msimu huu wako on fire, timu yao ni nzuri ila taratibu zilizotumika kuteua timu zina walakini....

Kikawaida timu za ulaya mfano Real Madrid, Barcelona, Manchester United & City , Liverpool , Chelsea, Arsenal na nyinginezo hua zinakua na "tour" ya mechi za kirafiki,
Mfano wanaweza kwenda Bangkok huku Thailand ili kupata mashabiki na kuuza jezi lakini wakicheza mechi za kirafiki timu za ligi hua wanatoa timu moja ya msimu, yaan wale waliofanya vizuri huchaguliwa na kuunda timu moja ambayo hucheza mechi husika,
Hivyo ukijaribu kuangalia TPL msimu huu tunajua kuna wachezaji wengi wameng'ara na hawako Simba, rejea list ya wafungaji bora msimu huu au angalia takwimu za pasi za mwisho, au angalia nani amechukua mchezaji bora wa mwezi mara nyingi msimu huu

Huu ni uthibitisho kwamba wapo wachezaji wengine ambao walipaswa kupata hii fursa ya kuwakabili mabingwa mara 5 wa michuano ya Ueropa, ila kutokana na TFF kutozingatia weledi basi wakatoa zawadi kwa Simba,
Ieleweke siichukii Simba ila namna ilivyopewa nafsi ya kucheza na sevilla kuna walakini, ilibidi iteuliwe timu ya msimu na kocha bora then wacheze hiyo mechi

Hebu njoo tujadiliane, nini maoni yako juu ya jambo hili?
Umeambiwa na nani kuwa TFF ndio waliochangua timu ya kucheza na Sevilla? Sportpesa wenyewe ndio wamependekeza na wametumia kigezo cha performance ya timu zote mbili katika mashindano yaliyopita ya Sportpesa Ambapo Simba ilifika ½final na kuwa mshindi wa tatu wakati yanga ilitolewa hatua ya mwanzoni.
 
Kwa taarifa tu Simba na Yanga zote zilikataa kuunda timu moja ya mchanganyiko wa wachezaji bora kucheza na Sevilla
 
Umeambiwa na nani kuwa TFF ndio waliochangua timu ya kucheza na Sevilla? Sportpesa wenyewe ndio wamependekeza na wametumia kigezo cha performance ya timu zote mbili katika mashindano yaliyopita ya Sportpesa Ambapo Simba ilifika ½final na kuwa mshindi wa tatu wakati yanga ilitolewa hatua ya mwanzoni.
 
kwa taarifa yako

sevila fc haijaletwa na tiefuefu imeletwa na sportpesa

sportpesa wanasponsor simba na yanga kwa upande wa TZ...hivo suala la kuunda team ya ligi halipo

sportpesa walitaka simba na yanga ziunde team moja club zote mbili ziligoma

Hivo bas sportpesa wakataka simba na ya zikutane ili mmoja acheze na sevilla yanga wakasema wanajiandaa na kombe la shirikisho

ikabid vigezo vitumike

Simba ndie mdhamini anayefukuzia ubingwa

simba ndio team ya bongo ilioperfom vizur kwenye sportpesa supercup

Simba ilimfunga yanga kwenye msimu huu

simba imeperfom vizur sana kimataifa kwa mwaka huu

USISAHAU YA LIPULI MWAKANI HAMUENDI KIMATAIFA

Screenshot_2019-05-05-20-23-28.jpg
Screenshot_2019-05-05-20-15-03.jpg
 
Hapo mmeanza kupaza midomo mikubwa kama mabakuli ya michango mkidhani mnaonewa.

Sportpesa waliteuwa wenyewe wala usihusishe TFF na hilo. Na kwa kujipima hivi mna kipi ambacho kingewafanya mcheze na Sevilla.
 
Sportpesa ndio wadhamini wanayoileta Sevilla hapa Tanzania.
Na wameamua Sevilla icheze na Simba SC.
Nyie Kama mnataka kucheza na Sevilla si muighalamie kuileta hapa nchini na mucheze nayo mpira wa miguu.
Au tafuteni sportpesa yenu iwe inawaletea timu za kucheza nazo mpira wa miguu.
Mumefikia hatua mnataka kuwalazimisha Sportpesa wafanye mambo mnayoyataka nyie.
Kwenye mkataba wenu na Sportpesa mliahidiana kuletewa timu za nje za kucheza na timu yenu?
Mmezoea kulalamikia mambo yasiyowahusu kabisa.
Hebu kuweni wastaarabu hata kwa sekunde moja
 
Mleta mada ameponda vigezo vilivyotumika kuipa Simba nafasi ya kucheza na Sevilla hala akaishia kutoa vigezo dhaifu kupitilizaaa.
 
Nahisi yanga ndio walikataa kuunda timu mchanganyiko maana Simba wangetoa kocha na wachezaji wengi
 
Back
Top Bottom