Mjadala: Tufanye haya kutokomeza rushwa ya ngono vyuoni, Hili ni jambo mtambuka

Mjadala: Tufanye haya kutokomeza rushwa ya ngono vyuoni, Hili ni jambo mtambuka

Wazo zuri! Unakuta mwalimu anamuita mtoto ofisini pasipo kumueleza jambo la maana! Au anamgandisha hapo ofisini na kumpotezea mda pasipo jambo la maana
Mwanafunzi kuitwa ofisini hasa pasipo kuwa sehemu ya kundi na wakawa kama kundi wakiwa na mwalimu ofisi haifai, hata test au quiz mwanafunzi afanyie venue za madarasa sio kwenye ofisi za waalimu, huu upuuzi shetani anaupenda sana.

Wakuu wa idara waitishe vikao au watoe waraka wenye maudhui ya makatazo ya ngono na athari zake kwa waalimu kila mwanzo wa muhula wa masomo, na Ma CR's wapewe waraka huo na usomwe mbele ya kila mwalimu wa somo kwa muhula husika.

Hofu hupunguza au kuondoa utawala wa shetani. Sheria sheria kanuni, miongozo na taratibu wanafunzi na walimu wajue.

Wengine ni maafisa mikopo vyuoni, wahasibu, wasimamizi wa hostels hawa wote wapewe waraka na copy wanafunzi wawe nazo.

Ofisi ya taaluma vyuoni ibebe dhamana ya ulezi na ustawi wa kitaaluma kwa wanafunzi na waalimu.

Chukueni hatua kwa haki na wajibu. Kila la heri kwa wahusika.
 
Mwanafunzi kuitwa ofisini hasa pasipo kuwa sehemu ya kundi na wakawa kama kundi wakiwa na mwalimu ofisi haifai, hata test au quiz mwanafunzi afanyie venue za madarasa sio kwenye ofisi za waalimu, huu upuuzi shetani anaupenda sana.

Wakuu wa idara waitishe vikao au watoe waraka wenye maudhui ya makatazo ya ngono na athari zake kwa waalimu kila mwanzo wa muhula wa masomo, na Ma CR's wapewe waraka huo na usomwe mbele ya kila mwalimu wa somo kwa muhula husika.

Hofu hupunguza au kuondoa utawala wa shetani. Sheria sheria kanuni, miongozo na taratibu wanafunzi na walimu wajue.

Wengine ni maafisa mikopo vyuoni, wahasibu, wasimamizi wa hostels hawa wote wapewe waraka na copy wanafunzi wawe nazo.

Ofisi ya taaluma vyuoni ibebe dhamana ya ulezi na ustawi wa kitaaluma kwa wanafunzi na waalimu.

Chukueni hatua kwa haki na wajibu. Kila la heri kwa wahusika.
Umeongea point sana mkuu
 
Mambo mengi ulliyoandika hayaendani na hali halisi, kama vyuo vimeshindwa kujiendesha bila integrity vifungiwe tu, haya yakuanza kufanya vyuo kama NECTA na NACTE ndio mtakamilisha kuharibu mfumo wa elimu kuanzia Shule ya Msingi(ambapo umeshaharibiwa 100%) mpaka PhD.
 
Naomba nianze kwa kusema yafuatayo;

Jamii yetu inaugonjwa wa kusita kufanya maamuzi!
Viongozi tumekuwa waoga kuanzisha kitu kipya kwa kuogopa kukosolewa!

Taasisi tumekuwa watu wa kufanyakazi kwa hisia kuliko kutumia wataalam ili kuondoa changamoto!

Mamlaka hatufanyi jambo likawa jambo hadi litawale mitandaoni ndipo tufanye jambo!

Yote haya yanasababishwa na kutegeana kufanya maamuzi magumu either baina yetu watendaji au baina ya taasisi na taasisi!

Mathalani katika rushwa ya ngono vyuoni, Uongozi wa vyuo umekuwa ukitegea sana kufanya maamuzi wakiamini ni kazi ya TAKUKURU, Pia Takukuru nao wamekuwa wakisubiri taarifa ya vyuo husika ili kufanya maamuzi kwasababu hilo ni jambo linalohitaji ushirikiano wa pande zote (Mwanafunzi, chuo na Takukuru)

CHANGAMOTO NI ZIPI KATIKA HILI

  • Kwanza kabisa ieleweke kwamba mwanafunzi wa elimu ya juu hafungamani na sheria ya mtoto chini ya miaka 18! Hivyo maamuzi yoyote anayofanya mwanafunzi wa chuo kikuu huhesabika ni maamuzi ya mtu mzima yanayolindwa chini ya katiba ya jamhuri ya muungano kama ilivyo kwa raia yoyote mtu mzima! Hivyo sheria ya faragha inachukua nafasi kubwa!
  • Tatizo jingine ni uwajibikaji wa mwanafunzi katika masomo yake (UTORO na UKILAZA), Hili lipo kwa wafunafunzi wa jinsia zote, hivyo linatoa mianya ya mazingira ya kusaidiwa kufaulu kwa kutoa chochote kitu (Ngono kwa wanawake na pesa kwa wanaume)
  • Shida nyingine ni ufukara (umasikini wa kugharamia masomo) Hili huongozwa na hofu ya kufeli/ kudisco. Mwanafunzi anapobanwa na sheria ya kudisco ni hasara kubwa sana kwake na familia, Hawezi kumudu kulipa gharama za kurudia mwaka, Hili jambo ni gumu sana kujihudumia kwa kurudia mwaka, hivyo hana namna zaidi ya kutoa rushwa ya pesa au ngono ili avuke salama
  • TATIZO jingine ni ucheleweshwaji wa MISHAHARA kwa wakufunzi hususani hawa (Tutorials)! Ifahamike kwamba hawa ni binadamu wanahitaji kuvaa, kula, kunywa na kuhonga, sasa mkufunzi kama hana pesa ya kuhonga Malaya huko mtaani unazani kinachofuata nini kama siyo kutumia mamlaka yake kuwala wanafunzi! (Tumia ulichonacho ili upate ukitakacho theory)
  • Utaratibu mgumu wa kuhama vyuo pia ni changamoto nyingine
  • Kutokuwepo kwa certificate ya kila mwaka wa masomo (annually certificate) ili hata anaeamua kuacha chuo ajue anaondoka na chochote kitu
KIPI KIFANYIKE!

Wataalam na wadau wa elimu chini ya wizara ya elimu wafanye kikao cha pamoja kujadili solution zifuatazo!
1. Mkufunzi wa wanafunzi (Tutorial) apunguziwe maamuzi juu ya hatima ya mwanafunzi, ikiwezekana mitihani ya mwisho (final exam) ya wanafunzi waliofeli (below maksi ) ipitiwe na walimu wengine kabla ya kutangazwa rasmi.

2. Pia kuwepo na ripoti ya ufaulu ambayo mwalimu atapimwa nayo kwa ufundishaji kwa matokeo chanya au hasi! Na endapo 30%-50% ya wanafunzi kama itaonekana wamefeli kwenye hilo somo isihesabike kufeli Bali pia itafsilike mwalimu haeleweki! Na awajabishwe mwalimu kwa kutofundisha vizuri.
3. Sheria za vyuo (by laws) zifute sheria ya KUDISCO/ RETAKING! Bali wabakishe kanuni ya CARRIES FORWARD! Yaani mwanafunzi aliyefeli course work X, aruhusiwe kuendekea mwaka wa pili hadi wa mwisho lakini asipewe cheti hadi pale atakapoclear somo husika!
3. Mwanafunzi asiweze kucarry FORWARD somo ambalo siyo CORE SUBJECT ! Mfano, mwanafunzi anaesoma course ya KULIMA kama core subject, Asikamatwe na kucarry FORWARD somo la mchaka mchaka ( minor course ibaki kuwa ni additional course lakini isimnyime mwanafunzi kupewa cheti cha course husika
4. Kila mwaka wa masomo wanafunzi wapatiwe cheti cha NTA LEVEL 1,2, 3,4,5,6,7 etc hii ni kutokana hawa watu wamelipa ada kila mwaka, na pale wanapopata changamoto za kuendelea na mwaka unaofuata basi angalau wapate cheti hicho cha annually (ni haki kabisa).
Ifahamike siyo lazima hadi mwanafunzi amalize miaka yote chuoni ili apewe cheti cha mwisho.
5. Cheti cha mwisho kitolewe na TCU kama ilivyo kwa NACTE! kuwepo kitengo ndani ya TCU Kitakachopokea taarifa kutoka kila chuo, yaani kila chuo lazima wawe na database acaounti watakayotuma matokeo final TCU, Then vitaandaliwa vyeti huko na kutumwa vyuoni au kwa wahusika kama softcopy!
6. Kama wanaofeli itaonekana Kuna ulazima wa kurudia masomo, basi wapunguziwe ada ya kurudia au wasilipe ada kabisa
7. Iruhusiwe mwanafunzi kuhama chuo kwa utaratibu rahisi
8. Courses work zote ziwe na ratiba maalum inayojulikana na chuo husika, Mwalimu asijiamulie tu mitihani kwa kushtukiza!

Yapo mengi ya kubadilisha lakini angalau hayo yatapunguza unyanyasaji wa kingono na HAYATAMSHURUTISHA MWANAFUNZI NA KUTWEZA UTU WAKE kiasi cha kutoa rushwa ya ngono!

Mwisho! Ngono ni hiari kulingana na makubaliano, Sheria kandamizi ndiyo chanzo kikuu, tukiondoa mazingira hayo kwanza, RUSHWA ya pesa na ngono itapungua na kuondoka yenyewe vyuoni!

Ni maoni yangu! Karibuni tujadili!
Una mawazo mazuri ila pisi ni lazima zitombwe.

Hizo pisi zimewekewa kauzibe mpaka zifikishe miaka 18 wakati zinavunja ungo na kujazia hips na kuchomoza chuchu zikiwa na miaka 15.

Kwa hiyo mfumo wowote utakaoweka ili mradi pisi ni halali kuliwa zinapokuwa vyuoni basi zitaliwa tu kwa namna yoyote ile.

Rushwa ya ngono hakuna anayelazimishwa. Wanapelekaga mbususu wenyewe wafaulishwe na vichwa vyao maji.
 
Back
Top Bottom