kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au wataalamu hawana weledi sababu matukio mengi yanayotokea uwanjani zinashindwa kuyakamata zaidi matukio ya ramadhani kayoko...