Camera chache bwashee. Hili tumelipigia kelele kwa misimu miwili na zaidi sasa. Wenzetu wanakuwa na camera nyingi, hata ukiwa unatoa kipwinto wanakukapcha.
Pia viwanja vyote ukiacha wa Mkapa vinatumia taa za ulinzi na siyo taa sahihi za kuonyesha mechi za usiku katika kiwango sahihi.