Mjadala usiwe mrefu: Pombe siyo dhambi Wala haijawahi kukatazwa mahala popote Kwenye biblia Takatifu

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Ukiacha ushabiki na kufuata yale wasemao viongozi wetu wa dini Kwa sababu wanajua tukinywa pombe Kwa namna Moja ama nyingine watakoswa sadaka.

Hii imekuwa ndo mbinu Yao kubwa ya kuwa hadaa wale wasio jua maandiko vizuri.

Kwa wachache tulio amua kuyachunguza maandiko Kwa undani wake tukaona ni ukweli pasina shaka yoyote Ile Haipo sehemu yoyote pombe imekatazwa.

Badala yake watu wengi hujadiri matokeo yake baada ya mtu kuelewa ambapo kunywa sio lazima ulewe ukapoteza ufahamu.

Ninacho amini kitu chochote ukitumia pasipo kuwa na kiasi basi tegemea madhara makubwa.

Sio pombe,soda,nyama na vingine vingi!

Kwenye Biblia tunaona wazi
Muujiza wa kwanza kabisa wa yesu pale kana ulikuwa ni pombe.

Hata kwenye karamu ya mwisho ya yesu na wanafunzi wake pombe ilihusika (Divai)

Sasa wewe unatoa wapi ujasiri wa kusema pombe ni dhambi?

Halafu kwenye meza zetu sisi Huwa hatuwajadiri ninyi kuhusu kutokunywa pombe Cha ajabu katika mahubiri bila kututaja wanywa pombe hubiri halikamilika na ni batili.

NB: Usichokipenda waachie wanao kipenda.

Sira 31:27........

27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi.

Maisha yafaa nini bila pombe?
Imeumbwa iwafurahishe watu.
28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.

Screenshot_20241003-184602_1.jpg
Screenshot_20241003-184626_1.jpg
 
Hii ulio andika hapa nipombe mojakwamoja.
Nauhakika ukiwa hujalewa huwezi kuandika kitu chanamna hii👈
Ushauli wangu kwako nikwamba kama inakustarehesha basi punguza japo kidogo.
 
Ukiacha ushabiki na kufuata yale wasemao viongozi wetu wa dini Kwa sababu wanajua tukinywa pombe Kwa namna Moja ama nyingine watakoswa sadaka.

Hii imekuwa ndo mbinu Yao kubwa ya kuwa hadaa wale wasio jua maandiko vizuri.

Kwa wachache tulio amua kuyachunguza maandiko Kwa undani wake tukaona ni ukweli pasina shaka yoyote Ile Haipo sehemu yoyote pombe imekatazwa.

Badala yake watu wengi hujadiri matokeo yake baada ya mtu kuelewa ambapo kunywa sio lazima ulewe ukapoteza ufahamu.

Ninacho amini kitu chochote ukitumia pasipo kuwa na kiasi basi tegemea madhara makubwa.

Sio pombe,soda,nyama na vingine vingi!

Kwenye Biblia tunaona wazi
Muujiza wa kwanza kabisa wa yesu pale kana ulikuwa ni pombe.

Hata kwenye karamu ya mwisho ya yesu na wanafunzi wake pombe ilihusika (Divai)

Sasa wewe unatoa wapi ujasiri wa kusema pombe ni dhambi?

Halafu kwenye meza zetu sisi Huwa hatuwajadiri ninyi kuhusu kutokunywa pombe Cha ajabu katika mahubiri bila kututaja wanywa pombe hubiri halikamilika na ni batili.

NB: Usichokipenda waachie wanao kipenda.

Sira 31:27........

27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi.

Maisha yafaa nini bila pombe?
Imeumbwa iwafurahishe watu.
28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.

View attachment 3114369View attachment 3114370
Ukifa mkeo lazima aolewe...
 
Back
Top Bottom