uko sahihi, Biden anafanya hivyo kwa sababu ya hiyo vita lakini pia kuna issue kubwa ya BRICS....na tayari South africa ambaye ni founding member wa BRICS hali ni mbaya, umeme ni shida it is about to become a failed state."Debt ceiling" ni mjadala fikirishi. America kama ipo kwenye anguko la kiuchumi vilee.., na pia wapo kama vilee kwenye kubana mzunguko wa dollar yao kutishia uchumi wa dunia kuanguka kama mbinu ya kutafuta uungwaji mkono wa kidiplomasia kutengeneza washirika wapya juu ya vita vya kuinusuru Ukraine!
Au wewe mdau mwenzangu wa forum hii unauonaje? Ni anguko au kitisho?!
Somehow. But we are needed to think about our future on ourselvesSo what? Do we need USA anymore?
nayo hoja pia. Kiufupi dollar ime-dominate kama international medium of exchangeMarekani anajipa umuhimu ambao haupo. Uchumi wa dunia unaangukaje kwa mfano?
Yaani yeye akitetereka anasema uchumi wa Dunia unatetereka. Kiukweli ni muda sasa huyu mwehu astaafishwe siasa za Dunia akakae benchi kama UK alivyokaa benchi na kupisha mataifa mapya kushika hatamu katika uchumi wa Dunia.
Eti uchumi wa dunia utakufa kisha Dola ya marekani kuyumba. Matako yake.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Hivi hata kama unachokisoma hapa haukikubali, macho yako tu na ufuatiliaji hauoni kuwa hali ya US katika ramani ya uchumi wa dunia kwa sasa si nzuri?!Hiyo ni cheap politics ya Kevin, madai anayotaka hayana uhusiano na debt ceiling. Anatakiwa ayalete kwenye mjadala wa bajeti, lakini katika kutafuta cheap politics ndiyo anayal;et hapa ili aonekane ana nguvu hasa baada ya uchaguzi wake kuwa spika ukiwa ulijaa mazingaombwe mengi. Katiba ya Marekani inaweka wazi kuwa deni la serikali ya marekani siyo la kujadiliwa. Fourteenth Amendment, Section 4: " The validity of the public debt of the United States, authorized by law, including debts incurred for payment of pensions and bounties for services in suppressing insurrection or rebellion, shall not be questioned." Ikifika siku ya mwisho utakuta Rais anatumia kifungu hicho ku-raise debt-celing bila kumtegema Kevin.
Huyu Kevin ni spika wa hivyo sana. Mara ya kwanza alipitwa kwenye kiti cha uspika ingawa yeye ndiye aliyekuwa namba bili wakati huo, kikaenda kwa Paul Ryan aliyekuwa nyuma sana kwa sababu ya ujinga wake wa kutafuta cheap politics hata anapokuwa kwenye nafasi nyeti.
tuko pamoja mkuu. Na hoja yangu ndio hiyo. Uchumi wa marekani kuanguka na kupoteza ushawishi kisiasa. Hili tayari tunalishuhudia, hana ushawishi kama aliokuwa nao mwanzoHivi hata kama unachokisoma hapa haukikubali, macho yako tu na ufuatiliaji hauoni kuwa hali ya US katika ramani ya uchumi wa dunia kwa sasa si nzuri?!
US ana madeni makubwa sana. Na uchumi wake unategemea sana politics za kimataifa ili kuendelea kuwa hapo.
Sasa unasikia kuna muunganiko wa BRICS ambao unakuja kwa kasi sana. Na kuna baadhi ya mataifa tayari yameanza kuikwepa US Dollar, hii haikupi picha au idea kuwa US sasa ameshakalia kuti kavu?!
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Malezo yako hayana uhusiano na nilichoandika, sana sana unatanganza sentiment yako ya anti-US na pro-BRICS, ambayo una haki kabisa ya kuitangaza independently tena waziwazi lakini siyo kwa kujaribu kuipachika kwenye nilichoandika hapo juu.Hivi hata kama unachokisoma hapa haukikubali, macho yako tu na ufuatiliaji hauoni kuwa hali ya US katika ramani ya uchumi wa dunia kwa sasa si nzuri?!
US ana madeni makubwa sana. Na uchumi wake unategemea sana politics za kimataifa ili kuendelea kuwa hapo.
Sasa unasikia kuna muunganiko wa BRICS ambao unakuja kwa kasi sana. Na kuna baadhi ya mataifa tayari yameanza kuikwepa US Dollar, hii haikupi picha au idea kuwa US sasa ameshakalia kuti kavu?!
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Tuwekane sawa hapa wakuu. Nini muktadha wa marekani kwa sasa kiuchumi na kisiasa?!Malezo yako hayana uhusiano na nilichoandika, sana sana unatanganza sentiment yako ya anti-US na pro-BRICS, ambayo una haki kabisa ya kuitangaza independently tena waziwazi lakini siyo kwa kujaribu kuipachika kwenye nilichoandika hapo juu.
Sure, we need Russia and China. Putin in power for 20 years and forever; Jing Xi changed the constitution to remain in power forever. Say anything against them, you will end up rotting in jail. That is the democracy we want in Africa! Museveni and Kagame have shown that it works! Katiba na Uchaguzi huru is just noise that eventually fades out by itself.So what? Do we need USA anymore?
Unapolilia Katiba Mypa na Uchaguzi Huru, na haki za binadamu ni model ya Marekani. Haipo Urusi wala ChinaTuwekane sawa hapa wakuu. Nini muktadha wa marekani kwa sasa kiuchumi na kisiasa?!
Uelewa wa mwafrika ni mdogo sana mkuu hivi base ya uchumi wa marekan unaichukulua poa sanaMarekani anajipa umuhimu ambao haupo. Uchumi wa dunia unaangukaje kwa mfano?
Yaani yeye akitetereka anasema uchumi wa Dunia unatetereka. Kiukweli ni muda sasa huyu mwehu astaafishwe siasa za Dunia akakae benchi kama UK alivyokaa benchi na kupisha mataifa mapya kushika hatamu katika uchumi wa Dunia.
Eti uchumi wa dunia utakufa kisha Dola ya marekani kuyumba. Matako yake.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Misimsupport putin na xi kwa sabau tu wale ni madikteta na wauwajiUnapolilia Katiba Mypa na Uchaguzi Huru, na haki za binadamu ni model ya Marekani. Haipo Urusi wala China
So when they remain in power what bothers you?Sure, we need Russia and China. Putin in power for 20 years and forever; Jing Xi changed the constitution to remain in power forever. Say anything against them, you will end up rotting in jail. That is the democracy we want in Africa! Museveni and Kagame have shown that it works! Katiba na Uchaguzi huru is just noise that eventually fades out by itself.
So is that the leadership model you need in Tanzania? For that matter, never ever cry of Tume Huru ya Uchaguzi, Haki za Binadamu, Katiba mpya, watu kuuuwawa na polisi, and anything that sounds different from the Russian and Chinese models.So when they remain in power what bothers you?
What do you get or lose if they are in power?
So Why don't you talk about UK, Spain, Netherlands, Sweden, Norway, Denmark, Belgium and Luxembourg.So is that the leadership model you need in Tanzania? For that matter, never ever cry of Tume Huru ya Uchaguzi, Haki za Binadamu, Katiba mpya, watu kuuuwawa na polisi, and anything that sounds different from the Russian and Chinese models.
Nadhani wewe ndiwe mwenye exposure ndogo sana kwani inaelekea hujui tofauti ya republics na constitutional monalchies. Tanzania kama ilivyo China na Urusi ni republics, siyo monalchies kama Saudi Arabia, Jordan au Brunei na wala siyo Constintutional Monalchies kama hizo nchi za Ulaya ulizotaja.So Why don't you talk about UK, Spain, Netherlands, Sweden, Norway, Denmark, Belgium and Luxembourg.
In this country, their leader rules until he/she dies, then another one will come without election but from ukoo.
Je, unajua hilo au exposure kidogo ndugu yangu. And those are European countries.
Wewe umeng'ang'ana na chi hizi mbili viongozi wake hawajafikia hata miak 15.
Sasa republic constitution inasema mtu anatakiwa kutawala miaka mingapi?. Unajua republic maana yake nini?Nadhani wewe ndiwe mwenye exposure ndogo sana kwani inaelekea hujui tofauti ya republics na constitutional monalchies. Tanzania kama ilivyo China na Urusi ni republics, siyo monalchies kama Saudi Arabia, Jordan au Brunei na wala siyo Constintutional Monalchies kama hizo nchi za Ulaya ulizotaja.
Model ya republic duniani ambayo imedumu kwa zaidi ya karne nne ni USA iliyoanza mwaka 1776. Tanzania tulijunga na model hiyo mwaka 1962, Urusi walijunga nayo mwaka 1917, China walijiunga nayo mwaka 1949, na hata Irani nao ilijiunga nayo mwaka 1979 ingawa kwa kupindapinda. Kingdom zote za Ulaya ziliji-transfrom kutoka absolute monalchy kuwa consititutional monalchies ambapo wapo pale kama ceremonial figures tu, hawatoi maamuzi yoyote ya sera.
Absolute monalchies ziliozobaki dunmiani ni chache sana kwenye nchi kama Saudi Arabia, Jordan, Swaziland, Morocco, na Brunei kama nilivyotaja hapo juu. Hata Japan ni Constituional monalchy.
Sasa sijui kama unajua maana ya constitutional monalchy kweli kwa vile inaonekana huna exposure yoyote na mambo ya dunia bali umekariri tu.
Je unajua serikali ya kwenye republic inapatikanaje? Ulikimbilia kudai una "exposure" kuliko wengine, unategemewa kujua jambo dogo hili.Sasa republic constitution inasema mtu anatakiwa kutawala miaka mingapi?. Unajua republic maana yake nini?
Also nani aliyeanzisha neno republic?