Nadhani wewe ndiwe mwenye exposure ndogo sana kwani inaelekea hujui tofauti ya republics na constitutional monalchies. Tanzania kama ilivyo China na Urusi ni republics, siyo monalchies kama Saudi Arabia, Jordan au Brunei na wala siyo Constintutional Monalchies kama hizo nchi za Ulaya ulizotaja.
Model ya republic duniani ambayo imedumu kwa zaidi ya karne nne ni USA iliyoanza mwaka 1776. Tanzania tulijunga na model hiyo mwaka 1962, Urusi walijunga nayo mwaka 1917, China walijiunga nayo mwaka 1949, na hata Irani nao ilijiunga nayo mwaka 1979 ingawa kwa kupindapinda. Kingdom zote za Ulaya ziliji-transfrom kutoka absolute monalchy kuwa consititutional monalchies ambapo wapo pale kama ceremonial figures tu, hawatoi maamuzi yoyote ya sera.
Absolute monalchies ziliozobaki dunmiani ni chache sana kwenye nchi kama Saudi Arabia, Jordan, Swaziland, Morocco, na Brunei kama nilivyotaja hapo juu. Hata Japan ni Constituional monalchy.
Sasa sijui kama unajua maana ya constitutional monalchy kweli kwa vile inaonekana huna exposure yoyote na mambo ya dunia bali umekariri tu.