Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Wewe mdogo wangu ni mbumbumbu. Usiwapangie watu na nchi zao waishi kwa matakwa yako. Waache waishi maisha yao.Wacha propaganda; elewa kuwa Hu Jintao alikaa 2002 hadi 2012 (miaka kumi), Jiang Zemin alikaa 1993 hadi 2003 (miaka kumi), wa nyuma yao wote walikuwa ni chini miaka kumi hadi enzi za Mao.
chukua kombe la ushindi.Wewe mdogo wangu ni mbumbumbu. Usiwapangie watu na nchi zao waishi kwa matakwa yako. Waache waishi maisha yao.
Usilazimishe tufanane.
Ndio uache ushamba wako huo wa kimarekani. Dunia imebadilika. Don't live in the past mentality. Sera za USA ni zilipendwa.chukua kombe la ushindi.
France ni purely republican country. Je France rais anatakiwa kutawala miaka mingapi? Swali la Venus Star ni very valid na hautaki kulijibuKama huwezi kujua jmajibu yangu basi hutayajua hata nikirudia mara ngapi. Wewe unategema jibu rahisi la miaka 10 20 etc, lakini unashindwa kuelewa kuwa nchi zenye utawala unaotokana na uchaguzi hhalali hutofdautiana pia kwenye term limitrs na mambo mengineyo. Nilipokueleza feature ya pamoja ya system hiyo umeshindwa kuilelewa na hivyo tutaanza kwenda around the vicious circle ya ignorance forever.
Rais wa Ufaransa huchaguliwa kila baada ya miaka mitano kwa comptetitive election, na haruhusiwi kugombea baada vipindi viwili. Uchaguzi wa rais wa Ufaransa siyo rubber stamp.France ni purely republican country. Je France rais anatakiwa kutawala miaka mingapi? Swali la Venus Star ni very valid na hautaki kulijibu
Hahaaaa Unamjua Rais François MitterrandRais wa Ufaransa huchaguliwa kila baada ya miaka mitano kwa comptetitive election, na haruhusiwi kugombea baada vipindi viwili. Uchaguzi wa rais wa Ufaransa siyo rubber stamp.
Usijenge hoja kijuu juu tu. Tafuta Katiba ya Ufaransa uilete hapa.Hahaaaa Unamjua Rais François Mitterrand
? Unajua alikuwa Rais kwa miaka mingapi? Kwa nini alipitiliza miaka 10 kwa maana ya vipindi 2? Kwa taarifa yako tu Urais kwa nchi ya Ufaransa ambako ndiko falsafa ya Republicanism ilipoanzia (wala siyo USA kama ulivyodai) anaweza kugombea mara nyingi tu ili mradi anashinda uchaguzi. Hivyo hivyo kwa Chancellor wa Ujerumani nako Angela Markel alimua tu kuacha mwenyewe angetaka angeendelea kugombea
KWa hiyo utakubalina na mimi kuwa hizo terms wanaweza kubadilisha anytime watakavyo kama walivyobadilisha Wachina siyo?Usijenge hoja kijuu juu tu. Tafuta Katiba ya Ufaransa uilete hapa.
Katiba ya zamani ya Ufaransa ilikuwa inasema kuwa kipindi cha urais ni miaka 7. Baada ya hapo anamaliza kipindi chake na uchaguzi mwingine wa kumtafuta rais unaitishwa competitively kwa watu wote wenye sifa. Mtu aliyekuwa rais pia alikuwa anaruhusiwa kuogombea tena; Mitterand alitumikia katika katiba hiyo na Rais wa mwisho kutumikia katiba hiyo ni Jacques René Chirac. Baadaye mwaka 200 kukawa na constitutional ammendment ya kufupisha kipindi cha urais kutoka miaka 7 kuwa miaka mitano, na vile vile mwaka 2008 wakaanza kuhesabu vipindi vya urais na kuweka ukomo wa vipindi viwili.
Hiyo ni tofauti kabisa na Urusi na China ambako virtually hakuna competitive election ya kiti cha rais! Ujerumani hakuna uchaguzi wa Chancelor, bali ni uchaguzi wa Chama, kama ilivyo uingereza. Chama kinachopata vitiu vindi ndicho kinamtoa wazir Mkuu (Uingereza) na Chancellor (Ujerumani). In the end unachukubaliana nami ni kunakuwepoa competitive election na mtu au chama kinachoshinda ndicho kinaongfoza. Siyo kuwa na mtu mmoja amekaa kamapale kama vile ndalizaliwa kutawala milele.
Mwishoni, jifunze kusoma vizuri na kuelewa unachosma. Mimi sikusema kuwa republican system tunayotumia ilianzia Marekani. Na kwa taarifa yako siyo ufaranza walioanzisha republican system, imekuwa ni evolution process iliyoanzia kwa wagirki; ndiyo maana hadi majuzi tu 2008 bado hata Ufaransa wanafanya marekebisho ya katiba yao. Ninachotaka uelewa ni kuwa System tunayofuata sisi ni ile inayofutwa na Marekani hatufuati System ya Utrusi au China; ndiyo maana unaona tuna CCM CHADEM<A, CUF etc.
Competetive election inachukuliwa kama ndio msingi mkuu mmojawapo wa demokrasia. Lakini imekua ni kwa nadharia tu. Ukitazama hata kwa marekani, tofauti yao na yetu ni, wao tume huru ya uchaguzi lkn sisi hatuna. Sisi dola ina mamlakaUsijenge hoja kijuu juu tu. Tafuta Katiba ya Ufaransa uilete hapa.
Katiba ya zamani ya Ufaransa ilikuwa inasema kuwa kipindi cha urais ni miaka 7. Baada ya hapo anamaliza kipindi chake na uchaguzi mwingine wa kumtafuta rais unaitishwa competitively kwa watu wote wenye sifa. Mtu aliyekuwa rais pia alikuwa anaruhusiwa kuogombea tena; Mitterand alitumikia katika katiba hiyo na Rais wa mwisho kutumikia katiba hiyo ni Jacques René Chirac. Baadaye mwaka 200 kukawa na constitutional ammendment ya kufupisha kipindi cha urais kutoka miaka 7 kuwa miaka mitano, na vile vile mwaka 2008 wakaanza kuhesabu vipindi vya urais na kuweka ukomo wa vipindi viwili.
Hiyo ni tofauti kabisa na Urusi na China ambako virtually hakuna competitive election ya kiti cha rais! Ujerumani hakuna uchaguzi wa Chancelor, bali ni uchaguzi wa Chama, kama ilivyo uingereza. Chama kinachopata vitiu vindi ndicho kinamtoa wazir Mkuu (Uingereza) na Chancellor (Ujerumani). In the end unachukubaliana nami ni kunakuwepoa competitive election na mtu au chama kinachoshinda ndicho kinaongfoza. Siyo kuwa na mtu mmoja amekaa kamapale kama vile ndalizaliwa kutawala milele.
Mwishoni, jifunze kusoma vizuri na kuelewa unachosma. Mimi sikusema kuwa republican system tunayotumia ilianzia Marekani. Na kwa taarifa yako siyo ufaranza walioanzisha republican system, imekuwa ni evolution process iliyoanzia kwa wagirki; ndiyo maana hadi majuzi tu 2008 bado hata Ufaransa wanafanya marekebisho ya katiba yao. Ninachotaka uelewa ni kuwa System tunayofuata sisi ni ile inayofutwa na Marekani hatufuati System ya Utrusi au China; ndiyo maana unaona tuna CCM CHADEM<A, CUF etc.
Ujeruman sio republic huko shuleni sijui mnasomaga ni ninHahaaaa Unamjua Rais François Mitterrand
? Unajua alikuwa Rais kwa miaka mingapi? Kwa nini alipitiliza miaka 10 kwa maana ya vipindi 2? Kwa taarifa yako tu Urais kwa nchi ya Ufaransa ambako ndiko falsafa ya Republicanism ilipoanzia (wala siyo USA kama ulivyodai) anaweza kugombea mara nyingi tu ili mradi anashinda uchaguzi. Hivyo hivyo kwa Chancellor wa Ujerumani nako Angela Markel alimua tu kuacha mwenyewe angetaka angeendelea kugombea
Wewe shule walikujaza ujinga. Unajua Federal Republic of GermanyUjeruman sio republic huko shuleni sijui mnasomaga ni nin
Kwa kukusaidia ujeruman rais hana mamlaka kama ilivyo marekan ndo huko shulen sijui ulikua unasoma ninWewe shule walikujaza ujinga. Unajua Federal Republic of Germany
Kwa hiyo unadhani China hakuna vyama vingi?ndiyo maana unaona tuna CCM CHADEM<A, CUF etc.
Mabadiliko ya katiba ya kidemokrasia huwa hayachukui effect wakati wa utawala uliopo mpaka muda wake uishe. Siyo Mtu anaingia madarakani halafu anabadili Katiba kuwa kipindi cha Urais uwe miaka 20 kuanzia na yeye mwenyewe. Hata mishahra ya viongozi ikifanyiwa mabadiliko, basi mabadiliyo hayo yatakuwa na effect baada ya kipindi cha utawala uliopo kuisha. Mshahara wa Clinton ulikuwa laki mbili, lakini mishahara ya viongozi ilipofanyiwa mabadiliko mwaka 1998 na kuongeza mshara wa rais hadi laki nne, mshahara huo mpya ulianza na George Bush; yeye Clinton alisaini kupitisha sheria lakini haikuwa effective wakati wa utawala wake.KWa hiyo utakubalina na mimi kuwa hizo terms wanaweza kubadilisha anytime watakavyo kama walivyobadilisha Wachina siyo?
Vp Germany nao ni Federal Republic...kiongozi wao wa kuchaguliwa kidemokrasia anakaa miaka mingapi? Je Israel? Italy?